babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,439
- 36,069
Hivi Mabasi ya Wachezaji CHAN Ukunduni yanakaaje?
View: https://x.com/TBoundBuses/status/1950237952761835851
😂😂😂
View: https://x.com/busesnation/status/1950279201912750486?s=46
Hivi Mabasi ya Wachezaji CHAN Ukunduni yanakaaje?
View: https://x.com/TBoundBuses/status/1950237952761835851
Hizi ndizo basi zenyu!Better than yours.
View attachment 3423597
View: https://x.com/MhengaRufu8388/status/1950228733694267412?t=UuJaA7JtLb2wg3nrIEDLFg&s=19
Kwenye hii page waafrika wote wanaunga mkono uamuzi wa TZ,ila kunyan tu ndio unaona wana maumivu kiasi gani na huu uamuzi wa TZ,hey kunyan TZ imepakana na nchi 7 including kunyan,inakuaje nyie ndio mjione special flan maku nyie
Hao nyau TZ ndio USA yao ya africa,uwa wanajitoa ufahamu
Better than yours.
View attachment 3423597
Sas tunataka tuone wakifukuza hao viwete wetu wanaodai wako kwao, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Hao nyau TZ ndio USA yao ya africa,uwa wanajitoa ufahamu
Sasa nchi yenye gdp kubwa inakuwaje walielie si waende somalia
View: https://x.com/kennlab/status/1950204369602740655?t=dcn4ecIeh-BEEl8Uzvaxvw&s=19 hiyo namba 13,juzi hapa bwege mwaiofhawaii alikuja kutamba kuhusu kundustan kuimport avocado,tulimuambia kitaalam ili aelewe avocado wanayoimport inatoka TZ,na si avocado tu most ya mazao pia wanayoimport yanatokaTZ,akaleta upunguani wake,leo kila kunyan analalamika,then kwa upande wa tour guide kule unguja utakuta kunyan eti ni tour guide!hii lazima iwaume hawa nyau 😃😃😉