mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,138
- 6,561
Check history. I have posted tea mansions in the past. Let me give you avocado onesZako ziko wapi kwanza
Check history. I have posted tea mansions in the past. Let me give you avocado onesZako ziko wapi kwanza
Funguka ueleweke.I will bet you anything hata wabongo ni miongoni wao
😁😁
I call you on ur bs .And if you see a Kenyan working in a hotel or bar outside of management, means a Kenyan own that business just like those Kenya Railway shirts printed in TZ by a Kenyan owned company 😜Kwikwikwikwi Huku Tanzania wakenya 80% ni wahudumu wa bar na kwenye mahotel na hatuongei chochote kwa sababu Tanzania kazi zipo nyingi
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Unachekesha sana. Wapo mpaka malaya wa kenya kwenye mitandao ya hapa bongo wanajiuza. Unataka niweke picha zao?I call you on ur bs .And if you see a Kenyan working in a hotel or bar outside of management, means a Kenyan own that business just like those Kenya Railway shirts printed in TZ by a Kenyan owned company 😜
Huyo nyang'au mwenyewe keshajiripua marekañi lakini anajifanya hajioni😂🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Unachekesha sana. Wapo mpaka malaya wa kenya kwenye mitandao ya hapa bongo wanajiuza. Unataka niweke picha zao?
Hamna hata robo ya waliopo Tanzania mnalalamika, Tanzania wanapata mpaka pesa ya kujenga kwao ndani ya miezi mitatu tena hata sio Dar wala any bigger cities ni huko peripherals na ni kazi za maana sio hawkers, huko hata wafanye miaka 10 hawawezi kupata hata hela ya kubadilisha nguoI will bet you anything hata wabongo ni miongoni wao
😁😁
Put your money where ur mouth is… weka!mwaiofhawaii umekimbia. Mimi nikisema jambo nipo na uhakika nalo. Kama unabisha sema niweke ushahidi hapa.
Just a taste of avocado wealth. Tuonyeshe nyumba ka hizi ushago wa TZ ..Zako ziko wapi kwanza
🤣🤣🤣🤣 Kwahiyo kwako hiyo ni proof ya kuwa huyo ni mkulima wa parachichiJust a taste of avocado wealth. Tuonyeshe nyumba ka hizi ushago wa TZ ..
View attachment 3419895View attachment 3419896View attachment 3419897View attachment 3419898View attachment 3419899View attachment 3419900
Maku nitolee ubwege wako wa kuitaja america kwenye kila comment yako pambavu,last time I checked TZ ndio ilikua inaongoza kuwaletea remmitance huko ukunyan,hapa TZ kuna kunyan hadi walima mchichaThat’s what happens when you have a stronger country surrounded by weaklings. It’s the same problem in the United States. Influx of cheap labor . That 300 ksh. can do more in their motherlands. Maybe it’s time for Kenya to form ICE ..😄😄
Nyumba ya Babalevo anayojenga ni zaidi ya hii!The future of Kenya rural wealth… some houses have dropped already in Nyanza region. And since Kenyans are famous for copy cat in trends, the modern style of building is spreading all over rural Kenya. Swimming pools and Jacuzzis are no longer something to brag about huko Ushago in many places …
View attachment 3419903
Yes coz they are located in areas rich in avocado farming and weren’t there prior to the business. AMA unafikiri Kenya is number 5 duniani kwa sababu yako?..🤣🤣😁 na hatulipwi na pesa za madafu ..😁😁🤣🤣🤣🤣 Kwahiyo kwako hiyo ni proof ya kuwa huyo ni mkulima wa parachichi
Stick to ushago manenos sio celebrities ..Nyumba ya Babalevo anayojenga ni zaidi ya hii!
Wangese hao kunyan wamejaa TZ,leo kuna page nimewaona wanapanga namna ya kuwa tour guide upande wa TZ,sidhani kama kuna m TZ mwenye tamaa ya kufanya kazi ukunyanNa bado😂