Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leta hizo nyingine! Hatutaki ubishi!
We mzee heshimu miaka yako, hufai kua mzee na uwe mjinga at the same time, pick a struggle.

Simulator for training pilots.
KLM selects L3 for Boeing 787 Full Flight Simulator - Pilot Career News :  Pilot Career News



Simulator for training cabin crew.




KLM opens new training facility with realistic simulators
 
VItuo vyenyewe vishazidiwa hususan cha dar abiria ni wengi kuliko walivyotarajia sasa ndio waongeze safari watawaweka wapi hao abiria,ukifatilia vizuri trc wenyewe wanakiri kwamba watarekebisha baadhi ya makosa waliofanya awamu ya kwanza na ya pili ambayo yataweza kurekebishikaa na mojawapo ni vituo kuwa vidogo,hasahasa vya mjini
Cha dar wametaka wenyewe mfano kuanzia sa mbili mpaka tatu kuna treni mbili zinaondoka na moja kuingia kwa interval ya karibia nusu saa tu baada ya hapo Kuna ya kuingia saa Tano then mpaka jion wakati wangeweza panga ratiba hata kwa interval ya masaa mawili tu .
 
Back
Top Bottom