President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,006
- 93,351
Hapa sikuelewi. Unalalamikia mchakato wa CCM au unalalamika katiba imevunjwa?Ibara ya 41 (1) inaongelea kuhusu bunge kuvunjwa kabla ya majina kuwasilishwa, sasa jina moja lilishatajwa ili baadae lije kupelekwa kwenye tume ya uchaguzi.
Makubaliano yepi wakati hakukuwa na mchakato au kinyanga'nyiro cha kumtafuta mgombea? Kikwete aliposema tumekubaliana, alikubaliana na nani wakati kibajaji alihoji?
Sioni point yako hapa kaka.
Soma Katiba ya CCM vizuri uielewe. Chombo chenye mamlaka ya kufanya maamuzi ndani ya CCM ni mkutano mkuu kwa kupiga kura. CCM imefanya hivyo miaka na miaka.
Pili: Chombo kilichokabidhiwa kutangaza wagombea wa urais ni INEC kwamujibu wa sheria.
Mpaka sasa INEC haijatangaza mgombea yeyote. Sijaelewa wewe unalalamikia nini hapa. Sijui kama upo na uelewa wa Siasa na Sheria.
Kisheria CCM haijvunja kifungu chochote, ilichofanya ni kutekeleza mambo yake ya kisiasa kwa mujibu wa katiba ya CCM.
USIPOELEWA NA HAPA BASI