Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Of course hamna bypasses za kupunguza traffic incase of disruptions, this is very much expected.
Unajengaje bypass wakati yote hayo yanatokea bandarini kuelekea ubungo ambako kuna four lens then ndo zitoke mjini.
Mind you kuna malori zaid ya 1000 yanaingiza maka ya mawe tu bila mizigo mingine on all directions, nikimaanisha kuna yanayopitia njia ya mtwara na yanayopitia njia ya kibaha tofauti na hiyo Nairobi au Mombasa ambayo haina hata mzigo wa kutoka hinterland
 
Unajengaje bypass wakati yote hayo yanatokea bandarini kuelekea ubungo ambako kuna four lens then ndo zitoke mjini.
Mind you kuna malori zaid ya 1000 yanaingiza maka ya mawe tu bila mizigo mingine on all directions, nikimaanisha kuna yanayopitia njia ya mtwara na yanayopitia njia ya kibaha tofauti na hiyo Nairobi au Mombasa ambayo haina hata mzigo wa kutoka hinterland
Our major ports in Nairobi and Mombasa have special access roads for trucks to prevent traffic disruptions. Sisi sio bongolala kama nyinyi.
 
Mkoa wa pwani pekee yake upo na viwanda 1,535. vikiwemo viwanda 122 vikubwa, 120 vya kati, 276 vidogo na 1,017 vidogo sana (micro).
Wakenya wanaogopa sana.
 

Attachments

Aisee hii ingetokea Kenya wallahi watu wangekufa wanagombania hiyo mitungi, tofauti ya maisha na maadili baina ya Tanzania na Kenya ni kubwa sanaaaa, video nyingi tume share humu za ajali baina ya hizi nchi mbili na tumeona walivyo na njaa isiyo na kipimo. Kenya ni mavi.
Njaa na maadili ni vitu visivyoishi nyumba moja. Palipo na njaa maadili hutoweka na palipona maadili hakuna njaa.
 
Hehehe kumbe ndiyo mana walikimbia, walijua tungewa.tomba🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20250727_181224_Google.jpg
 
Our major ports in Nairobi and Mombasa have special access roads for trucks to prevent traffic disruptions. Sisi sio bongolala kama nyinyi.
Special ebu post hizo special trucks .
Na siku nyingine usiwe unakurupuka Nairobi na Mombasa malori mengi yanatoka ili kupeleka mizigo hinterland kuna malori machache sana yanayokuja na mizigo hinterland, kwahiyo sio rahisi kuwepo na foleni ya kushusha mizigo popote zaid ya bandarini na kwenye icds. Dar es salaam kuna mizigo ya copper na makaa ya mawe ambayo ukichukua hiyo ndo inaleta jam kwa barabara zote ndani ya dar es salaam.
Inshort dar es salaam inashambuliwa kwa kuleta mizigo Toka pande zote za mtwar collidor makaa ya mawe , mawe, viwanda vilivyoko mkuranga , tukija tu kwenye makaa ya mawe fleet ya kampuni ya mighty ni zaid ya 1000trucks per day hiyo ni mtwara collidor na hizo zote ni zinaenda bandarini na viwandani ukija kibaha road kuna copper na makaa ya mawe pia hata ijenge 6 lanes kwa sasa bado huwez himili mzigo wa dar
 
Dah kaka unawazaga mbali sana hivi kabila gani we jamaa!?
NI KWANA NAMNA GANI MACHAFUKL YA AFRIKA KUSINI NI FURSA KWA TANZANIA


Katika miaka ya karibuni, nchi ya Afrika Kusini imekumbwa na matukio ya mara kwa mara ya ubaguzi wa wageni, hasa dhidi ya raia wa mataifa ya Afrika kama vile Zimbabwe, Malawi, DRC na Mozambique. Hali hii imesababisha:

Wimbi la uhamaji wa watu kutoka Afrika Kusini,

Kupungua kwa imani ya wafanyabiashara katika njia za kibiashara za Afrika Kusini,

Kampuni nyingi kutafuta mazingira mbadala ya uwekezaji yenye usalama na utulivu.


Hii ni fursa adhimu kwa Tanzania, ambayo ina amani, miundombinu madhubuti kama Bandari ya Dar es Salaam na Reli ya Kisasa ya SGR kuelekea Dodoma, pamoja na jiografia inayoiweka katikati ya Afrika Mashariki na Kusini, kujitokeza kama kitovu cha biashara, usafirishaji na uwekezaji wa kikanda.

2. Changamoto

Licha ya fursa hii kubwa, hakuna mkakati wa taifa wa kuunganisha juhudi kati ya taasisi za serikali ili:

Kutangaza Tanzania kama njia salama na bora ya biashara ya kikanda,

Kuendeleza Dodoma na reli ya SGR kama eneo la kimkakati la viwanda na biashara,

Kuvutia kampuni, wawekezaji na wataalamu wanaokimbia Afrika Kusini.

3. Lengo

Kusimamia na kutekeleza mkakati wa taifa utakaosaidia kuitangaza Tanzania kama kituo mbadala cha biashara na uwekezaji kwa Afrika ya Kusini na Kati, kupitia:

Bandari ya Dar es Salaam kama lango kuu la biashara ya kikanda, na

Dodoma kupitia SGR kama kituo kikuu cha biashara ya ndani na bandari kavu.

4. Sababu za Msingi za Mkakati Huu

A. Wakati wa Kijiografia na Kisiasa

Machafuko ya Afrika Kusini ni fursa ya muda mfupi inayohitaji kuchukuliwa haraka.

Tanzania ina amani, inaendeshwa kwa sheria, na ipo katikati ya ukanda wa SADC na EAC.


B. Miundombinu

Bandari ya Dar es Salaam imeboreshwa, lakini bado haijatumika kikamilifu.

Reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma na baadaye Kigoma iko mbioni kukamilika.


C. Sera na Mipango ya Taifa

Inalingana na Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025,

Inatekeleza malengo ya AfCFTA, SADC Industrialization Strategy, na Blueprint ya Maboresho ya Mazingira ya Biashara (2018).

5. Mapendekezo ya Kimuundo

i. Kuendeleza Dodoma kama Bandari Kavu na Ukanda wa Viwanda

Kutangaza Dodoma kama Ukanda Maalum wa Kiuchumi (SEZ) chini ya Sheria ya SEZ ya 2006.

Kujenga maghala ya kisasa, maeneo ya viwanda na mifumo ya forodha.


ii. Kampeni ya Kimataifa ya Uwekezaji

Kuandaa kampeni ya kutangaza Tanzania kama nchi salama kwa uwekezaji, hasa kwa kampuni zinazokimbia Afrika Kusini.

Kutangaza Dar es Salaam kama bandari mbadala kwa nchi za SADC.

iii. Vivutio vya Kisheria kwa Wawekezaji

Kutumia Sheria ya Uwekezaji Tanzania (Sura ya 38) kutoa motisha kwa kampuni zinazohamia.

Kuanzisha Kituo Kimoja kwa Wenyeji wa Afrika Kusini ndani ya TIC/EPZA.


iv. Ushirikiano wa Kidiplomasia SADC

Kutumia uanachama wa SADC kushawishi mizigo ya kikanda kupitishwa Tanzania badala ya Afrika Kusini.

Kupendekeza njia ya Dar – Dodoma – Tunduma iwe sehemu ya vipaumbele vya miundombinu ya SADC.
 
Hawa watu wa serikali na Magari yao nyambafu mnaonaje SGR wapewe train moja ina mchanganyiko wa flat bed na behewa la abiria wakae humo kuletwa Dar na kurudishwa Dom, kuliko kiongozi anachukua SGR alafu Dereva kutusumbua Barabarani.
Hiyo sio dawa kama serikali ipo serious kunapaswa kuwa na carpool concept kwamba akiwa Dar kuna rentals!
 
Unajengaje bypass wakati yote hayo yanatokea bandarini kuelekea ubungo ambako kuna four lens then ndo zitoke mjini.
Mind you kuna malori zaid ya 1000 yanaingiza maka ya mawe tu bila mizigo mingine on all directions, nikimaanisha kuna yanayopitia njia ya mtwara na yanayopitia njia ya kibaha tofauti na hiyo Nairobi au Mombasa ambayo haina hata mzigo wa kutoka hinterland
Dar ina plan ya Express masterplan ya bypass over km 100 plus 16 flyovers ambayo ni outerring itatokea Bunju ikatize Luguruni Pugu mpaka Mazinga then ipitie Kigamboni ije iingie bandarini kwa daraja la Nyerere! Haijatekelezwa tu!

IMG_2606.png
 
Back
Top Bottom