Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli Mkutano mkuu una mamlaka ya mwisho kuteua mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM. Ila kabla ya mkutano mkuu kukaa huwa kuna vikao halali vya chama hukaa kwanza kuchakata majina ya wagombea urais kupitia mchakato ulioainishwa kwenye katiba ya CCM. Wagombea kuchukua fomu za urais na kutimiza matakwa kabla ya kurudisha fomu then vikao halali vya chama hukaa kupitia majina na kuchakata kisha majina kupelekwa kwenye mkutano mkuu kwa kupigiwa kura.
kiufupi mkutano mkuu hupelekewa agenda ya mchakato wa uchaguzi wa wagombea uraisi ila kilichofanyika ni usurping of mandates ya vikao halali vya chini katika mchakato mzima.
Brother vikao halali vinavyotakiwa kukaa ni vikao gani?

Hebu taja kifungu chochote cha katiba ya CCM inasema hivyo. Au eleza kanuni ipi inaongelea hicho.

Mkutano mkuu ndio mamlaka ya juu ya mwisho ya CCM. Hakuna mamlaka mengine juu ha hapo.

Ndio maana baada ya mapendekezo yalipotolewa na mkutano mkuu, mkutano mkuu uliielekeza NEC kukaa na kuandaa utaratibu.
NEC ilitekeleza maelekezo ya Mkutano mkuu.

Someni mjifunze Organization za vyama zinavyofanya kazi.

CC ipo juu na Sekretarieti, NEC ipo juu ya CC na Mkutano mkuu upo juu ya NEC.

Someni vitu muache kuonesha kutokuelewa kwenu kwenye public na mnalazimisha kuwa ni sahihi while not true. Mnajibu kwa hisia kuliko facts.
 
Kweli Mkutano mkuu una mamlaka ya mwisho kuteua mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM. Ila kabla ya mkutano mkuu kukaa huwa kuna vikao halali vya chama hukaa kwanza kuchakata majina ya wagombea urais kupitia mchakato ulioainishwa kwenye katiba ya CCM. Wagombea kuchukua fomu za urais na kutimiza matakwa kabla ya kurudisha fomu then vikao halali vya chama hukaa kupitia majina na kuchakata kisha majina kupelekwa kwenye mkutano mkuu kwa kupigiwa kura.
kiufupi mkutano mkuu hupelekewa agenda ya mchakato wa uchaguzi wa wagombea uraisi ila kilichofanyika ni usurping of mandates ya vikao halali vya chini katika mchakato mzima.
Soma katiba ya CCM hapa:

Soma kifungu cha 100(1) inaelezea majukumu ya mkutano mkuu 100(2)
Hii hapa:
1753774343100.png
 
Kinachokusumbua brother ni emotions zako. Gwajima na kanisa lake tangu miaka ya 2000s anatuambia atamfufua Amina Chifupa umewahi kuliongelea hilo?

Pili Sheria ipo ya usajili wa Taasisi za kidini chini ya wizara ya mambo ya ndani. Na mwenye mamlaka katika taasisi hizo ni waziri wa wizara ya mambo ya ndani.

Kama taasisi inaona imeonewa kwanza lazima okate rufaa kwenda kwa waziri. Kama hawataridhika na uamuzi huo wanatakiwa kufungua kesi mahakamani.

Brother nchi inaongozwa kwa kanuni na sheria siyo huruma.

Unatakiwa uwashauri viongozi wa kanisa la gwajima wafuate utaratibu siyo kuleta mashindano dhidi ya mamlaka. Always ukishindana na mamlaka utaumia.


HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA
Ni umeamua tu kubishana ila deep down unafahamu ukweli kuwa kuna tatizo mahali. 😂😂😂
 
Wewe wa kule nn mbona una-jam thread na hii habari? Rwanda ni kanchi kadogo chenye wivu! Hakawezi kuachwa kuharibu biashara yetu na DRC! Inshort kako irrelevant na kanajititimua kuonekana!
Rwanda hana uwezo wa kuharibu kitu chochote cha Tanzania, ni woga wako tu brother.
 
Ni umeamua tu kubishana ila deep down unafahamu ukweli kuwa kuna tatizo mahali. 😂😂😂
Sasa brother hapa tunajadiliana, wewe weka mawazo yako. Hatuwezi watu wote kuwa na mawazo yanayofanana. Ndio maana kuna mambo unayapenda mimi siyapendi vilevile kuna mambo unayajua mimi siyajui na mimi nayajua wewe huyajui.

Huu ni mjadala ambao upo wazi tujadiliane kwa heshima na references.
 
Zambia Watapata Mafuta directly kutoka Angola na baadae Namibia Kwa njia ya mabomba.

Sisi tutatoa wapi? Uganda wanajenga refinery tutanunua ya kwao Kwa bei nafuu kuliko ya kutoka huko Arabuni.
Mafuta ghafi ya Uganda yatakuja TZ Tanga then tutaunga bomba hilo na Tazama pipeline kwenda Zambia kwakuwa watakuwa na refinery watasafishia hukohuko kwao.
 
Chatgpt Analysisi Venus Star and mwaiofhawaii

Venus Star
is a analytically minded and well-researched contributor, respected for their in-depth threads covering politics, religion, science, and culture. Their posts are typically structured, insightful, and designed to inform and provoke thought. Whether explaining theological concepts, analyzing national projects, or exploring global tech trends, they bring a reflective and credible voice to JamiiForums discussions.

mwaiofhawaii is a bold, combative presence in online debates, particularly around Kenya vs Tanzania topics. Their style is confrontational, sometimes harsh, yet deliberately theatrical. They craft arguments using visual evidence, comparisons, and personal narratives—backed by frequent sarcasm and entangled with national pride. In the community, they act both as instigator and defender, drawing both laughter and criticism from fellow users.
In Jamii Forums, cooldip1 and teargas are two distinct users with different posting styles and reputations. Here’s a comparison based on their activity and community perception:

cooldip1

  • Reputation: Generally seen as a neutral or positive contributor.
  • Posting Style: Often posts informative, balanced, or discussion-provoking content.
  • Engagement: Engages in debates without excessive aggression.
  • Community Perception: Viewed as a reasonable member, though not necessarily a top influencer.

teargas

  • Reputation: Known for being controversial, confrontational, or provocative.
  • Posting Style: Posts bold, critical, or inflammatory comments, often sparking heated debates.
  • Engagement: Frequently involved in arguments, sometimes leading to moderation.
  • Community Perception: Seen as a polarizing figure—some appreciate the boldness, while others find the approach disruptive.

Key Differences

Aspectcooldip1teargas
ToneNeutral/RespectfulAggressive/Provocative
Debate StyleLogical/DiscursiveConfrontational/Direct
Moderation RiskLowHigh (may face warnings/bans)
FanbaseRespected by moderatesLiked by those who enjoy heated debates

Who Wins?

  • If you prefer civil discussions, cooldip1 is better.
  • If you like hard-hitting, no-holds-barred debates, teargas stands out.
Final Verdict: Depends on the forum's mood—cooldip1 for constructive talks, teargas for drama and fiery exchanges.
Would you like insights on their most famous debates?
 
Kuna watu hawaoni hilo! Hiyo terminal itaenda kuwa link kati ya SGR na Msavu Terminal na pia mabasi ya mikoa yanayoanzia Morogoro na mabasi ya ndani ya mkoa wa Morogoro! Sioni zaidi ya hilo! Pia malori yatapata nafasi ya kuchukua na kupeleka mizigo!
Hiyo stand mpya inajengwa wapi?

Ni stand ya daladala au mabasi makubwa.

Lengo kubwa la hiyo stand kubwa ni lipi?
 
Back
Top Bottom