Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just a year or two ago you were anti Mall . Now that you are catching up, hatutapua ..🤣🤣.. Reminds me of dormitory argument for apartments but now all we hear is Sijui Kawe sijui Samia housing.. thanks for always keeping us entertained..🤣🤣
They are always late to the party. Imagine this massive new mall opened in Nairobi and we are not bothered. Ingekua bongoslum hatungepumua. 🤣🤣🤣

View: https://www.instagram.com/reel/DMmtRZDxjJJ/?igsh=NXBuNXRmeW9nOHA0
 
In terms of shares only buana nothing , mind you hata mkiwa mnalease it's reported in the books of accounts .
Imagine if we could be leasing , ndege ngapi tungekuwa tunamilikb. Mind b787 ni 224mil usd na zipo tatu 🤣🤣🤣🤣
Si mkue na passengers Kwanza ndio uanze Kuota mambo ya leasing surely? Your airline struggles to do 850k passengers in a year na uko hapa unataka kushindana na KQ which does 6M passengers in a year. Akili yako inakusaidia kweli?
 
Hata asset = equity + liabilities
Kwahiyo nyinyi mna asset nyingi lakini zikiwa katika mfumo wa madeni🤣🤣🤣
Ona pumbavu, kwa hivyo nyinyi hamna madeni? Mkona madeni plus hasara. KQ has a revenue of 1.5 billion USD, Air Tangagiza hata 200 million USD haijafikisha. Giants can't compete with midgets.
 
Si mkue na passengers Kwanza ndio uanze Kuota mambo ya leasing surely? Your airline struggles to do 850k passengers in a year na uko hapa unataka kushindana na KQ which does 6M passengers in a year. Akili yako inakusaidia kweli?
Walease ndege wapeleke wapi na hata Europe waliambiwa wasijaribu kuingia huko.
 
Hii ni kutokana na hesabu tulizozifahamu hapo awali (kama miaka 5 ililyopita). Sasa kama kuna update ya kutomiliki hata moja, hilo nilikuwa sifahamu.
Inasemekana zipo tatu ila nani ataprove si unawajua hawa ndugu zetu. Wenzao huwa wanastick kwenye formula ya 50:50 yaan unakuwa na ndege nusu ya zile ulizokodi na hii ni pale ambapo wanataka kufanya majaribio kwa muda kwa ajili ya kuagiza kwa wingi.
Au mfano wa indigo ya India yeye hununua then baadae anaziuza kwa mashirika ya kukodisha ambao nao wanakuja kumkodishia yeye mwenyewe tena
 
Ona pumbavu, kwa hivyo nyinyi hamna madeni? Mkona madeni plus hasara. KQ has a revenue of 1.5 billion USD, Air Tangagiza hata 200 million USD haijafikisha. Giants can't compete with midgets.
Toka lini Tanzania Iko na equity, unajua madeni ya atcl chanzo chake ni kipi? Kwahiyo revenue ndo faida 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom