Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna watu fukara kama nyinyi kweli? sijaona nchi inexport omba omba wengi kama nyinyi, hadi burundi wana nafuu
Bora anaeexport omba omba kuliko slaves
20250303_133155.jpg
 
Kuna watu fukara kama nyinyi kweli? sijaona nchi inexport omba omba wengi kama nyinyi, hadi burundi wana nafuu
Kama uliweza tudanganya kwa nyumba za kupangishwa za Karen za Nairobi kwanini tusiamini kuwa hao ni ombaomba wenu mnashindwa kuwatoa, Tanzania if your illegal utatoka tu. Inaonesha system zenu zilivyoweak
 
Kama hivi ndio munajenga intersections mbona kusikue na mrundikano.

Image


Hatuko level moja na nyinyi wanyonge hamjui kutengeneza interchanges.

Image
Tanzania hatujengi kwa mihemko , hiyo phase one ya ringroad ambayo imeshakamilika , phase 2 inaanzia kwenye round about kwenda morogoro na kuingia Dodoma mjini ambayo itacomprise na hizo diverts . Zinajengwa four lanes za Moro Dodoma na kuanzia msalato mpaka kwenye roundabout za ringroads iringa road.
Hii ni ili kuondoka congestion ya magari makubwa kuingia mjini
 
Back
Top Bottom