Special ebu post hizo special trucks .
Na siku nyingine usiwe unakurupuka Nairobi na Mombasa malori mengi yanatoka ili kupeleka mizigo hinterland kuna malori machache sana yanayokuja na mizigo hinterland, kwahiyo sio rahisi kuwepo na foleni ya kushusha mizigo popote zaid ya bandarini na kwenye icds. Dar es salaam kuna mizigo ya copper na makaa ya mawe ambayo ukichukua hiyo ndo inaleta jam kwa barabara zote ndani ya dar es salaam.
Inshort dar es salaam inashambuliwa kwa kuleta mizigo Toka pande zote za mtwar collidor makaa ya mawe , mawe, viwanda vilivyoko mkuranga , tukija tu kwenye makaa ya mawe fleet ya kampuni ya mighty ni zaid ya 1000trucks per day hiyo ni mtwara collidor na hizo zote ni zinaenda bandarini na viwandani ukija kibaha road kuna copper na makaa ya mawe pia hata ijenge 6 lanes kwa sasa bado huwez himili mzigo wa dar