Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In terms of shares only buana nothing , mind you hata mkiwa mnalease it's reported in the books of accounts .
Imagine if we could be leasing , ndege ngapi tungekuwa tunamilikb. Mind b787 ni 224mil usd na zipo tatu 🤣🤣🤣🤣
Ndege zenu si hua zinafanyiwa overhaul abroad ju hamna proper facilities. You still have a long way to go.
 
Ona pumbavu, kwa hivyo nyinyi hamna madeni? Mkona madeni plus hasara. KQ has a revenue of 1.5 billion USD, Air Tangagiza hata 200 million USD haijafikisha. Giants can't compete with midgets.
Kq haina mtaji ndugu imejaza current assets ambazo ndo hizo shares , yaan ni liquid assets , then ukija kwenye hizo leased planes hana uwezo wa kufanya lolote hata kusema akodishe au auze .
NCA ya Kq ni very low
 
Ndege zenu si hua zinafanyiwa overhaul abroad ju hamna proper facilities. You still have a long way to go.
Kuwa maintance facility sio lazima, inategemea na policy ya kampuni ,kwa akili yako unadhani inashindikanika kuweka maintanence facility ?
Hub ya atcl ni msalato subiria iishe muone
 
Kq haina mtaji ndugu imejaza current assets ambazo ndo hizo shares , yaan ni liquid assets , then ukija kwenye hizo leased planes hana uwezo wa kufanya lolote hata kusema akodishe au auze .
NCA ya Kq ni very low
Nyamaza, you don't even have the facilities to train your pilots. Nunueni hata flight simulator moja muwache kuja Kenya kutumia facilities za KQ.

Dash 8 simulator to be installed in Kenya - Wings MagazineWings Magazine
 
Kuwa maintance facility sio lazima, inategemea na policy ya kampuni ,kwa akili yako unadhani inashindikanika kuweka maintanence facility ?
Hub ya atcl ni msalato subiria iishe muone
Hamna facilities because you are a small airline.
 
Kuwa maintance facility sio lazima, inategemea na policy ya kampuni ,kwa akili yako unadhani inashindikanika kuweka maintanence facility ?
Hub ya atcl ni msalato subiria iishe muone
Siku hiyo shirika dhaifu itapata faida njoo tuongee.

Hamlipi parking fee kwa airports za Tanzania lakini bado mnatengeneza hasara.
 
Bado hata haijatumika ipasavyo kuongeza loops Tena wakati hata hii kuna interval ya masaa zaid ya matatu kwa treni kupita
KUmbuka treni za mizigo bado hazi
Baada ya mwanae kupigwa chini naona naye anatafuta pa kutokea ili kanisa lake lifungiwe. Watu wamechoka na makanisa wanataka kuyakimbia
Watu wamechoka na serikali onevu East africa integration haitowezekana kama serikali yetu ikiendelea na huu uonevu
 
Nyamaza, you don't even have the facilities to train your pilots. Nunueni hata flight simulator moja muwache kuja Kenya kutumia facilities za KQ.

Dash 8 simulator to be installed in Kenya - Wings MagazineWings Magazine
1753739092165.png
1753739092165.png

Mkanunue hata hii basi moja tu iwe yenu badala ya kuwa wapangangji
Wa
Tsavo Aircraft Financing LLCCitibank NA, JPMorgan Chase, AfreximBankTo finance 6x B787‑8, 1x B777‑300ER & spare engineHeld by financiers via trustee
 
Back
Top Bottom