Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Huwa na shangaa baadhi yetu hapa kufumbia macho uonevu huu wa wazi, na wengine hata kuutetea? Yaani wanafungia makanisa, hata waumini wakienda kwingine wanawafata, huo sasa ni ushetani.Watu wamechoka na serikali onevu East africa integration haitowezekana kama serikali yetu ikiendelea na huu uonevu