Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si ulisema ziko 3. Kenya purcahsed 20 MRI machines in 2013 while bongoslum in 2025 bado mkona 14. Watu wa 400 billion gdp ya mchongo, hamko hata penye tulikua in 2013.


View: https://x.com/GDUDelivery/status/1154696869655830528

Tanzania kwa report ya October 2024 iko na:-

1. Altrasound machines - 970
2. X-ray machines - 469
3. MRI machine - 14
4. CT scan machines - 40+
5. PET scan machines - 3

Hizi zote ni government owned.. hakuna uwekezaji binafsi hapo. 👇🏾 Nishati | News.
 
Kwahiyo kama Mabeyo alisimamia ndio Wasukuma walimpenda? Hivi unajua Mabeyo alifuata
Katiba ya nchi?
Huna ushahidi kuonesha kuwa Wasukuma wanamchukia. Wasukuma/Wanyamwezi ni zaidi ya 20M. Weka ushahidi kuwa wasukuma wanamchukia.

VIongozi wa juu kabisa ambao ni wasukuma:
  • Doto Biteko ni namba nne kutoka juu (Naibu Waziri Mkuu).
  • Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) Waziri wa ulinzi

  • Stanslaus Nyongo - Deputy Minister of State in the President's Office for Planning and Investment
  • Kundo Andrea Mathew - Deputy Minister for Information, Communication and information Technology
  • Patrobas Paschal Katambi - Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana na Ajira (Deputy Minister, PM's Office Labour, Youth & Employment)
  • Mhe. Alexander Pastory Mnyeti - Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi


Adv. Ng'wasi D. Kamani(MB) - Msukuma ndiye aliyetoa pendekezo la mkutano mkuu kuridhia Rais Samia apitishwe kama mgombea pekee.

View: https://www.instagram.com/reel/DFAZ7qYoPgU/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==


Orodha ni ndefu sana kaka. Kinachokusumbua ni chuki tu.
 
Tanzania kwa report ya October 2024 iko na:-

1. Altrasound machines - 970
2. X-ray machines - 469
3. MRI machine - 14
4. CT scan machines - 40
5. PET scan machines - 3

Hizi zote ni government owned.. hakuna uwekezaji binafsi hapo. 👇🏾 Nishati | News.
GDP ya 400 billion dollars na mkona 14 MRI machines and 40 CT scan pekee. 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom