Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Saa brother unanishambulia mimi binafsi. Nimekuwekea mpango wa EAC kuwa nchi moja. Na Tanzania ni sehemu ya EAC ikiwemo Rwanda na Burundi.

Mimi nimekuwekea reality wewe unaniletea hisia.

Huo kaka ndio mpango wa EAC na mwasisi wake ni Tanzania. Sasa kosa langu ni lipi?
Umesoma point yako kule juu kaka!?
Tufanye yameisha.
Case closed.
 
watakuambia Kenya GDP yake ni 6 times ya North Korea 😂😂😂njoo kwa ground sasa hata kutengeneza mzinga mmoja wa kuruka 5km hawawezi halafu linganisha miji ya NK na Kenya uone kituko. Wealth is visible sio kwenye makaratasi.
Mzinga.? Technology ya kutengeneza mzinga unaijua wewe.? 🤣🤣 hao wapuuzi Kunyarenda hawana hata technology ya kutengeneza baruti.
 
GDP kubwa alafu miji vumbi tupu, inafaida gn kuwa na GDP ya hivyo alafu maandamano ya ugali kila siku, Rais wao anasema wakenya zaidi ya robo tatu wana share choo cha shimo, na tulisema humu wakabisha, leo president wao ana confirm kwamba ¾ ya wakenya wana share choo cha shimo. Alafu mtu akiniambia eti GDP ya Kenya ni kubwa huwa nashangaa sn, hivi are we serious kuita ka GDP ka $100B ni kubwa? Tuache masihara jmn, GDP inayo produce umeme usiozidi 3000MW ni kubwa hiyo? Huu ni uchale wakuu.
na vi metrics vyao uchwara vya GDP, HDI, GNI 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa hapo Tatizo lipo wapi? Kama Sukuma/Nyamwezi unawaweka kwenye kundi la Banyarwanda na Banyamulenge je, unataka kuwaodoa Tanzania? Sukuma/Nyamwezi ni zaidi ya 20% ya Population ya Tanzania. Rostam Aziz na yeye ni Msukuma. Lakini Rostam Aziz wazazi wake asili yake ni Persia.

Hao Banyarwanda na Banyamulenge hawawezi kufanya chochote, mmejazwa woga ambao hauna ukweli wowote
Rostam si Msukuma bali ana affiliation na Unyamwezi kutoka Igunga!
 
Rostam si Msukuma bali ana affiliation na Unyamwezi kutoka Igunga!
Brother hujui lolote. Sukuma/Nyamwezi ni kitu kilekile hakuna tofauti. Unaweza ukawaita Sukuma or Nyamwezi
Kwanza unatakiwa ujue neno Nyamwezi limetokana na nini na neno Sukuma limetokana na nini.

Sukuma/Nyamwezi is not a tribe brother is a sociaty
 

Kwasasa TZ inatekeleza RESTRICTIVE POLICY.

Unakuja kama MKIMBIZI, kwenu amani ikirudi unarudi kwenu.

Huwezi kudanganyia ukimbizi kupata uraia.

Screenshot_20250717_133352_Chrome.jpg


 
Hii ni picha pendwa ya kujipa faraja ya bwana Nicxie 👇🏾hii ni magomeni View attachment 3408143anyways.. I would like to update him .. this is the current view 👇🏾View attachment 3408144
Shida ya Jamaa wakiona BRT wanajua ni recent photo, BRT ilianza kujengwa 2012 ikakamilika 2015.

Kipindi hicho Bonde la Mto msimbazi lilikua na mafuriko kila kukicha jangwani kulikua na utitiri huo, wakabomoa zote.

Ajabu jamaa wamekomaa na picha piga ua so sad.
 
Shida ya Jamaa wakiona BRT wanajua ni recent photo, BRT ilianza kujengwa 2012 ikakamilika 2015.

Kipindi hicho Bonde la Mto msimbazi lilikua na mafuriko kila kukicha jangwani kulikua na utitiri huo, wakabomoa zote.

Ajabu jamaa wamekomaa na picha piga ua so sad.
Unaweza kuta wametunza hizo picha kwenye gallery za simu zao! 😂😂😂
 
Back
Top Bottom