REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,602
- 11,528
Kwani sisi hatutofautiani na wazanzibari?Masuala ya mbegu na kubadilisha ideology ni mambo mawili tofauti mkuu.
Kitu ideology ni ngumu sana.
Nakupa mfano ulio hai.
Kurdish ambao walikua watawala wa Khorasana walikataa katukatu kuwa chini ya himaya moja ya Ottoman,ilienda hivyo kukaa chini ya hiyo himaya walilazimishwa,ila himaya ilipovunjika waturuki wengine wote walikubali kuwa chini ya bendera ya nchi ya Uturuki,wafarsi wakawa chini ya bendera Moja ya Iran,ila wakurdi hawakukubali licha ya kubembelezwa na kulambwa magoti juu.
Hao hapo sasa hivi wanapigana kutafuta uhuru wa kurdi katika ardhi ya Iran,Iraq na Turkiye.
Ndio ujue ideology sio kitu rahisi kubadili.
Wewe umeuliza kuwa, kama CCM imewasaidia kunganisha vyama why Oromo wameuana? Nimekujibu, ilichofanya CCM ni first step ya national buildup project. South Africa wana Rainbow nation, Rwanda baada ya genocide wana yao pia. Ndivyo mchakato ulivyo, na ni project inayoweza chukua generations.