babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,308
- 35,739
Inahitajika kufanyika operation kimbunga 2.0Kanda ya ziwa moko hiyo,kagera wanajiita wanyambi,shinyanga,mwanza,geita nk wanajiita waangaza,hatari sana hao watu
Inahitajika kufanyika operation kimbunga 2.0Kanda ya ziwa moko hiyo,kagera wanajiita wanyambi,shinyanga,mwanza,geita nk wanajiita waangaza,hatari sana hao watu
Nini lengo la EAC sasa kaka waafrika inafaa tutambue hapa duniani hatuwezi kutoboa bila kuungana na kuweka tofauti zetu pembeniMkuu international organization ni tofauti na united republic.
EAC ni international organization huwa Kuna limits katika mambo.
Ila muungano unaousemea wewe ni WA kuwa na serikali Moja aisee huo hauna limits na utatuumiza.
Aisee broo hapa nakupinga hadi kiama Rwanda na Burundi sio nchi rafiki hata upunje kheri hata Somalia wakipata sehemu tulivu akili inawaingia wanajenga nchi.
Kamwe waafrika hatuwezi kuweka tofauti zetu wenyewe kwasababu tunanafikiana na kuoneana choyo wenyewe kwa wenyewe.Nini lengo la EAC sasa kaka waafrika inafaa tutambue hapa duniani hatuwezi kutoboa bila kuungana na kuweka tofauti zetu pembeni
Kuungana siyo kushea matatizo ya kujitakia.Nini lengo la EAC sasa kaka waafrika inafaa tutambue hapa duniani hatuwezi kutoboa bila kuungana na kuweka tofauti zetu pembeni
Brother mbona unanilisha maneno ambayo sijayasema 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hoja zangu zimekuzidia umeanza kunichamba. Leta hoja kaka au uliza maswali nikujibu.According to Venus Star eti wanafanana na Wasukuma ndio wanasaidia kuwa-assimilate! Unaona ujinga unaoendelea? Ndio maana idadi yetu inaenda kugonga 70 mln people bila kujielewa!
Kwanii ishindikane kwani Tanzania kuna makabila mangapi mbona tumeunguna umewahi kukakaa chini kama makabila yote yaliyopo Tanzania yasingeunguna tungekuwa kwenye hali gani sasa?Kamwe waafrika hatuwezi kuweka tofauti zetu wenyewe kwasababu tunanafikiana na kuoneana choyo wenyewe kwa wenyewe.
Ndio maana miungano yetu mingi haifanikiwi, chukulia mfano hata wa ECOWAS.
Tena ifanywe na jwtz,uwa awacheki na kimaInahitajika kufanyika operation kimbunga 2.0
Unajua gharama aliyotumia Nyerere mpaka nchi hii kuwa MOJA??Kwanii ishindikane kwani Tanzania kuna makabila mangapi mbona tumeunguna umewahi kukakaa chini kama makabila yote yaliyopo Tanzania yasingeunguna tungekuwa kwenye hali gani sasa?
Where did you get this?
Tupe ushahidi wa hizo hela.
Magu alifariki chumbani na sio Mzena wala Kenya?
Mabeho si alitoa taarifa juu ya uuguzi wake mpaka anakufa hospitali.
M23 ni swala jingine kabisa na sahihi kumpa lawama Kagame.Dah wanangu naona amani imetunogea sana, or huruma imezidi hadi hatujui madhara.
Watu wa Burundi, Rwanda, na wahamiaji wengine siwaafiki kabisa.
Tunaoishi kanda ya Ziwa ujambazi ulizidi sana, Kigoma ilikua haifikiki usiku bila matukio ya kijambazi kisa tu uzembe na kukosa userious wa kusimamia sheria za nchi.
Raia wa nchi nyingine akija Bongo hajakulia hapa amekua mkubwa hawezi hata siku moja kua mtanzania maana hatajali chochote afanyacho.
Kwanza haina ubishi Inahitajika Operation Kimbunga 2 kuondoa hao warundi na Warwanda, na wahamiaji wote haramu bila kujali, mchina, mzungu etc.
Mhamiaji hajawahi kua na uchungu na nchi yako, ikiharibika anahamia kwingine
Ujinga huo ulikua utugharimu kuwa na makundi na ukosefu wa usalama kule Kigoma, Kanda ya Ziwa.
Na Kagame anawatumia hao watu baadae kueneza propaganda, kujustify ujinga, imeonekana kule Kongo hiyo miji ya M23 sidhani ni wakongo pure.
Amani yetu inathamani Venus Star hakuna na hitawezekana kabisa mataifa kuwa dola moja kabisa zama hizi.
Rwanda Big NO.
Itabidi mzee Venus Star ujiulize why EAC Tanzania inatolewa macho sana, kuliko other countries, wakenya hapo tu wanatamani wawe free huku maana benefits ni nyingi kila sector, sisi Kenya Kufanyaje? Same na nchi nyingine, unataka muungano ambao wengine wanachuma huku sisi hatuna cha kuchuma?
Ukishakuwa na lundo la Wanyarwanda nchini kwako.M23 ni swala jingine kabisa na sahihi kumpa lawama Kagame.
Hawa na bodaboda Wanakera kinoma!Hizi bodaboda hovyo sana.
Alaaniwe aloye anzisha huu ujinga.
Muwage mnawasikia tu hao jw msiwaombee waingie kitaaa,tuwaonege tu wakiwa wamevaa tu Yale makombati, kuna muda nahisi wale wanaopelekwaga sehem za opareshen huwa wanadunia yao sio hii ya mtaaani.Tena ifanywe na jwtz,uwa awacheki na kima
Silka ya makabila tuliyonayo na ya Rwanda na Burundi inafanana?Kwanii ishindikane kwani Tanzania kuna makabila mangapi mbona tumeunguna umewahi kukakaa chini kama makabila yote yaliyopo Tanzania yasingeunguna tungekuwa kwenye hali gani sasa?
Nafahamu ndio ila pia nafahamu nyerere alikua mmoja ya wanzilishi wa Pan-African sioni sababu kuu ya kutounganaUnajua gharama aliyotumia Nyerere mpaka nchi hii kuwa MOJA??