The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
GDP kubwa alafu miji vumbi tupu, inafaida gn kuwa na GDP ya hivyo alafu maandamano ya ugali kila siku, Rais wao anasema wakenya zaidi ya robo tatu wana share choo cha shimo, na tulisema humu wakabisha, leo president wao ana confirm kwamba ¾ ya wakenya wana share choo cha shimo. Alafu mtu akiniambia eti GDP ya Kenya ni kubwa huwa nashangaa sn, hivi are we serious kuita ka GDP ka $100B ni kubwa? Tuache masihara jmn, GDP inayo produce umeme usiozidi 3000MW ni kubwa hiyo? Huu ni uchale wakuu.watakuambia Kenya GDP yake ni 6 times ya North Korea 😂😂😂njoo kwa ground sasa hata kutengeneza mzinga mmoja wa kuruka 5km hawawezi halafu linganisha miji ya NK na Kenya uone kituko. Wealth is visible sio kwenye makaratasi.