Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,691
- 107,133
Huyu mwamba aliwaambia ukweli karibu wamchinje nimependa comments kwenye thread in fact there are still some decent and sober Kenyans who calls a spade a spade.
View: https://x.com/FGaitho237/status/1925899438238617780
Mimi ningekuwa askari siwezi kamata watu wamechoka hivi, tena wanaenda kutafuta vibarua vya kulima mashamba kwa bei chee😢Kwani umeskia hii nchi ni shamba la Bib? FYI kinachotokea Eastern Congo ni mwendelezo wa kuwaachia wanyarwanda leo hii wanataka kujimegea eastern DRC! Kuwa mwangalifu sana na unachoongea!
Wawaache tu waje. Wakiingia Tanzania watamezwa na makabila yaliyopo huko. Hawawezi kuwa na nguvu.Mimi ningekuwa askari siwezi kamata watu wamechoka hivi, tena wanaenda kutafuta vibarua vya kulima mashamba kwa bei chee😢
Ya DRC Congo ni tofauti sana na hili. Watutsi na ardhi yao ilimegwa na wakoloni pande ikapelekwa Zaire na nyingine Dutch East Afrika present day Tanzania. Wakoloni wakamega tena sehemu za Tanzania na kuunda Rwanda na Burundi wakapewa Wakoloni wa Kibelgia. DRC hawataki kuwatambua na wanataka waondoke DRC bila ardhi yao, swala ambalo haliwezekani.
However, what you say inaweza pia kutokea if only a huge enthinic group fromoutside kuwa concentrated in one place.
Labda hujawahi tembelea kigoma hao watu wanaruhusiwa kuja ila kwa vibali maalum ya tsh20,000 ila wengi wao wanakwepa ,sasa inakuwa ngumu kuwatambua wahalifuMimi ningekuwa askari siwezi kamata watu wamechoka hivi, tena wanaenda kutafuta vibarua vya kulima mashamba kwa bei chee😢
Ya DRC Congo ni tofauti sana na hili. Watutsi na ardhi yao ilimegwa na wakoloni pande ikapelekwa Zaire na nyingine Dutch East Afrika present day Tanzania. Wakoloni wakamega tena sehemu za Tanzania na kuunda Rwanda na Burundi wakapewa Wakoloni wa Kibelgia. DRC hawataki kuwatambua na wanataka waondoke DRC bila ardhi yao, swala ambalo haliwezekani.
However, what you say inaweza pia kutokea if only a huge enthinic group fromoutside kuwa concentrated in one place.
Enyewe wewe ni ng'ombe. Mnasikia tu $450 B hamjui hiyo ni pesa kiasi gani. Tulieni na hako ka GDP ka $85B mfanye bidii labda mtafika $100B by 2030.Nitajie nchi yoyote duniani yenye GDP chini ya $250B, ambayo kwa pamoja, inajenga madaraja, mji mpya from scratch, reli, dam, kununua ndege cash, huku ikiwa na food security zaidi ya 100%, ikilipa mishahara bila shida, huku ikisomesha watoto mpaka sekondari bure.
Rwanda ina watu 14MWawaache tu waje. Wakiingia Tanzania watamezwa na makabila yaliyopo huko. Hawawezi kuwa na nguvu.
si Dutch bali Deutsch! Huna uzalendo ndio maana unaona sawa tena sehemu ya Great Lakes Region yenye migogoro chungu nzima! Wahamiaji lazma wawe na vibali!Mimi ningekuwa askari siwezi kamata watu wamechoka hivi, tena wanaenda kutafuta vibarua vya kulima mashamba kwa bei chee😢
Ya DRC Congo ni tofauti sana na hili. Watutsi na ardhi yao ilimegwa na wakoloni pande ikapelekwa Zaire na nyingine Dutch East Afrika present day Tanzania. Wakoloni wakamega tena sehemu za Tanzania na kuunda Rwanda na Burundi wakapewa Wakoloni wa Kibelgia. DRC hawataki kuwatambua na wanataka waondoke DRC bila ardhi yao, swala ambalo haliwezekani.
However, what you say inaweza pia kutokea if only a huge enthinic group fromoutside kuwa concentrated in one place.
Kwa miradi tuliyojenga tutaamua kuwekeza kwene facelifts za cities zetu, hakuna taifa la kushindana na Tz hapa EA.Enyewe wewe ni ng'ombe. Mnasikia tu $450 B hamjui hiyo ni pesa kiasi gani. Tulieni na hako ka GDP ka $85B mfanye bidii labda mtafika $100B by 2030.
Wacha nikupe mfano. Hii Iran ambayo wenzako wamekuwa wakiishobokea ina GDP ya $341B pekee. Iran yenyewe hiyo imetoa USA na Israel kijasho. Iran yenyewe ina population ya 91M which waay more than Bongoslum. Sasa kulingana na wewe hii bongoslum moja ambayo naijua imeishinda Iran kiuchumi? Hivi una akili wewe? 🤣 🤣
Hapa ona capital ya Iran. Unaweza linganisha Darislum na hii?.
![]()
![]()
Mji wa pili wa Iran huu. Sasa useme Mwanza ulinganishe na Mashdad
![]()
Mji wa tatu huu, ati sasa Arusha ulinganishe na Isfahan
![]()
Nchi nyengine hii hapa ni Columbia. GDP $427B ingawa population kidogo chini ya Bongoslum but according to you, mko ligi moja na Columbia. 🤣🤣🤣
Bogota, Columbia
![]()
![]()
Mji wa pili Medellin. Ati sasa ulinganishe na Mwanza.🤣🤣🤣
![]()
Mji wa tatu huu Cali eti sasa ulinganishwe na Arusha.🤣🤣🤣
![]()
Alafu nikikuita mwendawazimu uniita mbaya. mwaiofhawaii kuja uchukue hii ng'ombe uipeleke malishoni bwana. 🤣🤣🤣
Lol sio Wadachi pia, you can be so petty! 😂 😂si Dutch bali Deutsch!
14 + 14 = 28Rwanda ina watu 14M
Burundi ina watu 14M+
Rwanda inalingana na mkoa wa Tanga, wenye watu 2M
Ukiruhusu watu kujaa tu, unnecessarily, utawahudumia vipi?
Leta nchi zenye GDP chini ya $250B na orodhesha projects wanazofanya, otherwise utakuwa unaleta porojo tuu.Enyewe wewe ni ng'ombe. Mnasikia tu $450 B hamjui hiyo ni pesa kiasi gani. Tulieni na hako ka GDP ka $85B mfanye bidii labda mtafika $100B by 2030.
Wacha nikupe mfano. Hii Iran ambayo wenzako wamekuwa wakiishobokea ina GDP ya $341B pekee. Iran yenyewe hiyo imetoa USA na Israel kijasho. Iran yenyewe ina population ya 91M which waay more than Bongoslum. Sasa kulingana na wewe hii bongoslum moja ambayo naijua imeishinda Iran kiuchumi? Hivi una akili wewe? 🤣 🤣
Hapa ona capital ya Iran. Unaweza linganisha Darislum na hii?.
![]()
![]()
Mji wa pili wa Iran huu. Sasa useme Mwanza ulinganishe na Mashdad
![]()
Mji wa tatu huu, ati sasa Arusha ulinganishe na Isfahan
![]()
Nchi nyengine hii hapa ni Columbia. GDP $427B ingawa population kidogo chini ya Bongoslum but according to you, mko ligi moja na Columbia. 🤣🤣🤣
Bogota, Columbia
![]()
![]()
Mji wa pili Medellin. Ati sasa ulinganishe na Mwanza.🤣🤣🤣
![]()
Mji wa tatu huu Cali eti sasa ulinganishwe na Arusha.🤣🤣🤣
![]()
Alafu nikikuita mwendawazimu uniita mbaya. mwaiofhawaii kuja uchukue hii ng'ombe uipeleke malishoni bwana. 🤣🤣🤣
Halafu mimi naona Burundi, Rwanda na Comoros tuongee nao Tuwe nchi moja wajiunga kwenye United Republic of Tanzania. Haya ni mawazo yangu na CCM kiwe chama Tawala.Rwanda ina watu 14M
Burundi ina watu 14M+
Rwanda inalingana na mkoa wa Tanga, wenye watu 2M
Ukiruhusu watu kujaa tu, unnecessarily, utawahudumia vipi?
mbona eastern DRC hawajawameza? Tangu Mbelgiji? Nyie watu mna hatari!Wawaache tu waje. Wakiingia Tanzania watamezwa na makabila yaliyopo huko. Hawawezi kuwa na nguvu.