Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunatakiwa tupate watu sahihi hasa mtu sahihi wa kupambania reli, fikiria kama tukiweza yaondosha malori yote yakaanzie either Moro na Dom ili kuondoka jam ya morogoro road na Ile mizigo ya Rwanda ikishushwa ipigwe moja kwa moja isaka na kigoma yaan hakuna Cha kwala wa Dodoma ni kupakia kwenye mgr dereva akinyanyua gusi ni 24hour kashikilia kibati , kusimama ni dereva anataka kujamba tu.
Nafikiri hiyo ya hub kubwa isaka, ndiyo ilikuwa idea ya mwanzo kabla ya wazo la kujenga reli ya Burundi kupitia Uvinza, kuanza.
 
Tunatakiwa tupate watu sahihi hasa mtu sahihi wa kupambania reli, fikiria kama tukiweza yaondosha malori yote yakaanzie either Moro na Dom ili kuondoka jam ya morogoro road na Ile mizigo ya Rwanda ikishushwa ipigwe moja kwa moja isaka na kigoma yaan hakuna Cha kwala wa Dodoma ni kupakia kwenye mgr dereva akinyanyua gusi ni 24hour kashikilia kibati , kusimama ni dereva anataka kujamba tu.
Huhitaji kuondosha yote maana ni biashara huria ila around 40% is more realistic!
 
Mpango wa Kwala ni mzuri hata kushushia mizigo pale Kwala ni idea nzuri!
Ila dawa itaingia polepole .
Mfano tu nani atakubali akange foleni kusubiri mzigo bandarini na baadae aanze kupambania na foleni ya mpaka mlandizi.
Kwa lorry kutoka bandari mpaka mlandizi unaweza chukua masaa 6 wakati huo muda unakichukulia letsay Moro unakuwa umekata safari ya siku nzima plus mafuta.
 
Halafu juzi Chalamila kawaambia Tanroads waache kukodisha road reserves kwa malori yanayo-park Kurasini!
 
Most Kenyans be so delusional,
Ona kama huyu😄😄😄
Na wakunya wamelelewa na kudanganywa na wanasiasa kuamini wanachoanini,
Kenyans need to understand that kama tukilinganisha maendeleo ya nchi za SADC na Kenya basi Kenya itakuwa down sana, Kenya bado Iko nyuma sana kimaendeleo ukilinganisha na Namibia, Botswana, Angola, Eswatin.
Zanzibar alone has more 4 to 5 star rated hotels than the entire Kenya.
Angola pekee iliwahi host AFCON bila hata stress , South Africa ilihost World Cup smoothly, wao co-hosting CHAN tu wametolewa kamasi na imelazimu kukimbilia China nchi ya Kijamaa kuomba msaada. Halafu anakuja mpumbavu kama huyu anasema Nairobi alone can host AFCON wakati timu ya taifa inacheza home games in Malawi 😄😄😄
 
As it stands for The Coming CHAN tournament be like,
Opening game - Dar es Salaam (Tanzania Vs Burkina Faso), a highly anticipated football event, Ben Mkapa venue full of spectators....

Finals - Nairobi (Kenya national team will be already eliminated) , also depends on the state of security, as currently the mannerless massive group of roberrers named gen z are burning down the whole city and vandalizing every single shop on their way, stealing every item, police shooting them down like some mighty England HMS chasing down pirates across the Atlantic during the 16th Century 😄😄😄

So far;
Group A games - Dar es Salaam
Group B games - Nairobi
Group C games -Kampala
Groups D Games - Zanzibar

Come AFCON 2027 be like,
Opening game - Uganda
Finals - Tanzania
Third place - Kenya

Group A -Kampala
Group B -Dar es Salaam
Group C - Arusha
Group D - Nairobi
Group E- Dodoma
Group F- Zanzibar
 
Besides,
I love the way Tanzania sees things ahead of time.
Tanzania is currently building the ultramodern stadium in Dodoma, that will be ready for the AFCON 2027.
This is because Tanzania is very much aware that no games will be played in Kenya as 2027 is the year for Kenya's General elections. Elections in Kenya means chaos and unrest.
We are not going to lose such a historic opportunity due to some poor desperate primitive tribalistic neighbors' madness practicing politics and campaigns 24/7 every other time.
No AFCON game will take place in Kenya mark my words.
 
Most Kenyans be so delusional,
Ona kama huyu😄😄😄
Na wakunya wamelelewa na kudanganywa na wanasiasa kuamini wanachoanini,
Kenyans need to understand that kama tukilinganisha maendeleo ya nchi za SADC na Kenya basi Kenya itakuwa down sana, Kenya bado Iko nyuma sana kimaendeleo ukilinganisha na Namibia, Botswana, Angola, Eswatin.
Zanzibar alone has more 4 to 5 star rated hotels than the entire Kenya.
Angola pekee iliwahi host AFCON bila hata stress , South Africa ilihost World Cup smoothly, wao co-hosting CHAN tu wametolewa kamasi na imelazimu kukimbilia China nchi ya Kijamaa kuomba msaada. Halafu anakuja mpumbavu kama huyu anasema Nairobi alone can host AFCON wakati timu ya taifa inacheza home games in Malawi 😄😄😄
Huyo Mzee wa CECAFA ni anajitoa akili.

Sasa nini huwa kinamlazimisha mashindano ya Kagame kila mwaka anafosi yachezwe Tanzania?

Ndio maana yamekufa, Simba na Yanga anazozitegemea ,zimekataa kushiriki.

Halafu anabonga kuhusu, hotel kwahiyo mpira unachezwa hotelini??
 
Comin' soon...🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
1000065048.jpg
 
Back
Top Bottom