Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtutsi anaona lugha yake na kabila lake ndio bora zaidi,utampa lugha ipi ya kuungana akuelewe!?
Nenda kama Ethiopia hapo,Oromo,Tigrinyans na Amhara wanapigana kisa ukabila wanataka kupinduana kiutawala kisa ukabila,ndio taifa kama hilo useme liungane na mataifa mengine!??
Aisee embu wazeni nje ya sanduku makaka.
Brother watu hawawezi kupigana tu bila root cause. Wewe fikiria hapo kenya tangu wapate uhuru kabila moja tu ndio wanaochukua Urais. Wakija kabila lingine wansema Ruto Must Go. They need to address this issue. Huko Ethiopia tayari CCM imewasadia kuepukana na changamoto hiyo.
 
Wapi CCM imewasaidia kuepuka changamoto!?
Huwenda hufuatilii habari mkuu.
Ethiopia huko majimbo ya Oromo bado raia wanapigana mapanga kwa utofauti wa kikabila, vurugu za mwisho zimetokea miezi miwili tu iliyopita.
Kenya ukiona watu wanaandamana ni kiukabila,hata kampeni za kisiasa zinafanyika kikabila.
Unategemea taifa kama hilo uliunganishe na mataifa mengine?
 
Kumbuka Tanzania kuna wajaluo ila wajaluo watanzania hawapo kama walivyo wakenya
Maana yake wanaishi Kitanzania.
pointi yangu ni haya mambo yanawezekana na mungano unawezekana ata kama ukiwa ni partial ila ndio njia pekee ya kujikomboa waafrika kutoka kwenye makucha ya nchi za magharibi kama kuna njia tofauti na iyo naomba uziiainishe
Lazima dalili ziwepo.

Wewe unazungumza kuhusu kujitoa makucha ya magharibi, wakati:
  • Kenya ina host kambi ya kijeshi ya Uingereza, BATUK
  • Kambi ya kijeshi ya Marekani, CAMP SIMBA
  • Non NATO ally

Sasa huoni hata malengo mna tofautiana??

Wewe unaenda Mwanza, mwenzako anaenda Lindi halafu unasema mnaungana.
 
Kuungana hakutatupa maendeleo kama sisi wenyewe tuna ufisadi wa nafsi.
Wewe nchi yenyewe iko corrupt leo uje UANZISHE muungano wa mataifa ilhali taifa Moja Moja lina shida!??
Msisingizie vitu vingine,nchi za Afrika mna matatizo makubwa manne na nayataja kwa herufi kubwa.
1.MASSIVE CORRUPTION.
2.LEADERS' SELFISHNESS.
3.ABUSE OF POWER.
4.GREEDNESS OF POWER.
5.NEPOTISM
6.TRIBALISM.
Tatuweni hizi shida ndio muzungumzie maendeleo.
Mathalan Muammar Gaddafi amesalitiwa na waafrika wenzake.
Mnategemea muungane ilhali mna hizo dosari!?
Sipo mbali na wewe ila angalau tuanze kuunganisha mambo ya msingi ambayo ni lugha sarafu na mengineyo mpaka pale tutakapo tatua na kupunguza kwa kiasi kikubwa hayo mambo uliyoyainisha ndio tuingie kwenye full muungano mbali na hapo ni uongo
 
Maana yake wanaishi Kitanzania.

Lazima dalili ziwepo.

Wewe unazungumza kuhusu kunitoa makucha ya magharabi, wakati:
  • Kenya ina host kambi ya kijeshi ya Uingereza, BATUK
  • Kambi ya akijeshi ya Marekani, CAMP SIMBA
  • Non NATO ally

Sasa huoni hata malengo mna tofautiana??

Wewe unaenda Mwanza, mwenzako anaenda Lindi halafu unasema mnaungana.
Tanzania inaamini kwenye ukomunisti na Kenya kwenye ubepari.
Hata washirika ni tofauti, malengo ni tofauti.
Ndio ujue it is too late kuungana na tukafanya jambo.
Hilo lilitakiwa lifanyike kipindi nchi bado changa ziwekwe chini ya ideology moja na mtazamo mmoja.
Nchi zishakomaa na ideology zao binafsi uje uzibadili kwa kuziweka sehemu moja!?
Acheni utani,we huoni hata China anavyohangaika kwa Taiwan!?
Watu sijui hawalioni hili!
 
Sipo mbali na wewe ila angalau tuanze kuunganisha mambo ya msingi ambayo ni lugha sarafu na mengineyo mpaka pale tutakapo tatua na kupunguza kwa kiasi kikubwa hayo mambo uliyoyainisha ndio tuingie kwenye full muungano mbali na hapo ni uongo
Yaanza kutatuliwa hayo ndio mengine yaje.
HUWEZI jitia msafi kwa kuvaa nguo na kupuliza manukano ilhali huogi Wala huchambi,harufu itatokeza tu.
Oneni wenzenu Algeria,Misri wao wameendelea kivipi?
Botswana wao wameendelea vipi?
Seychelles wao wameendelea vipi?
 
Wapi CCM imewasaidia kuepuka changamoto!?
Huwenda hufuatilii habari mkuu.
Ethiopia huko majimbo ya Oromo bado raia wanapigana mapanga kwa utofauti wa kikabila, vurugu za mwisho zimetokea miezi miwili tu iliyopita.
Kenya ukiona watu wanaandamana ni kiukabila,hata kampeni za kisiasa zinafanyika kikabila.
Unategemea taifa kama hilo uliunganishe na mataifa mengine?
Kaka sitaki kuongea sana kuhusu Kenya. Maana Tanzania kupitia CCM ipo katika mikakati ya kutatua tatizo lao kisomi kama tulivyotatua huo Ethiopia. Nataka nieleze tu namna CCM ilivyo saidia kwa hekima ya juu sana.

CCM ilisimamia uanzishwaji wa Prosperity Party ya huko Ethiopia. Kiliundwa 1 December 2019 baada ya vyama vifuatavyo kuunganishwa:
ADP
ANDP
APDO
BGPDUF
ESPDP
GPDM
HNL
ODP
SEPDM
Hivi vyama ndivyo vilikuwa Root Cause ya ugomvi wa kikabila usio na mwisho.
Kwa sasa Prosperity Party ni moja ya vyama(Watoto wa CCM)
1752761380585.png
 
Maana yake wanaishi Kitanzania.

Lazima dalili ziwepo.

Wewe unazungumza kuhusu kunitoa makucha ya magharabi, wakati:
  • Kenya ina host kambi ya kijeshi ya Uingereza, BATUK
  • Kambi ya akijeshi ya Marekani, CAMP SIMBA
  • Non NATO ally

Sasa huoni hata malengo mna tofautiana??

Wewe unaenda Mwanza, mwenzako anaenda Lindi halafu unasema mnaungana.
Hayo mambo yana rekebishikaa sio msahafu alafu ukichunguza kwa makini hapa EA Kenya pekee ndio pro west wengine wote ni against
 
Kaka sitaki kuongea sana kuhusu Kenya. Maana Tanzania kupitia CCM ipo katika mikakati ya kutatua tatizo lao kisomi kama tulivyotatua huo Ethiopia. Nataka nieleze tu namna CCM ilivyo saidia kwa hekima ya juu sana.

CCM ilisimamia uanzishwaji wa Prosperity Party ya huko Ethiopia. Kiliundwa 1 December 2019 baada ya vyama vifuatavyo kuunganishwa:
ADP
ANDP
APDO
BGPDUF
ESPDP
GPDM
HNL
ODP
SEPDM
Hivi vyama ndivyo vilikuwa Root Cause ya ugomvi wa kikabila usio na mwisho.
Kwa sasa Prosperity Party ni moja ya vyama(Watoto wa CCM)
View attachment 3408937
Aiseee kaka acha ubishi, Ethiopia ukabila Bado upo,April 2025 Oromo watu wamechinjana.
Ni mzozo wa Tigray tu ndio uliotulia sio mwingine.
Kama CCM imesaidia April kwanini watu wa Oromo na Amhara walichinjana mwaka huu!?
 
Ndio hatua hizo kaka. Taarifa unayoiongelea hii hapa:

Uasi wa Oromo Liberation Army (OLA) ulianza mwaka 2018 na bado haujakoma kabisa. Serikali kuu ilisaini makubaliano ya amani na sehemu ya OLA tarehe 1 Desemba 2024, ambapo wapiganaji takriban 800 waliingia kambini kwa ajili ya kusalimisha silaha.

Kiwango cha vurugu kimepungua sana ukilinganisha na kilele cha mapigano mwaka 2022/2023, kutokana na shinikizo la kijeshi na makubaliano ya Desemba 2024.

MAMBO KAKA HAYAWEZI KUISHA HARAKA HARAKA TU
 
Sasa imetoka kwa jumuia za kikabila imehamia kwa raia kama raia.
Hii inaonesha chuki zipo ndani ya mioyo si rahisi kuzifuta.
Hili lilitakiwa lifanyike tangu enzi za Nyerere ndio ingefanikiwa.
Kwasasa sio kama haiwezekani bali muda haumsubiri mtu.
 
Mtutsi anaona lugha yake na kabila lake ndio bora zaidi,utampa lugha ipi ya kuungana akuelewe!?
Nenda kama Ethiopia hapo,Oromo,Tigrinyans na Amhara wanapigana kisa ukabila wanataka kupinduana kiutawala kisa ukabila,ndio taifa kama hilo useme liungane na mataifa mengine!??
Aisee embu wazeni nje ya sanduku makaka.
Ok tuseme muungano umeshindikana what is next,kwaiyo kila mtu ajipambanie kwaiyo iyo ndio njia sahihi
 
Back
Top Bottom