President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,013
- 93,380
Brother unaposhindwa kujibu hoja zangu usikimbilie kuniita mjuaji. Hiyo ni dalili ya kushindwa hoja. Hapa naona unajitandika risasi kwenye miguu yako. Hao Rwanda unaowakataa wapo kwenye EAC. Na lengo la EAC ni kuwa nchi moja. Mwanzilishi wa EAC ni Tanzania.Jamaa anazingua sana, kawa mjuaji kwenye hilo swala hadi anaharibu.
Kuna jamii hazifai kuungana nazo hasa hizi zinazoendekeza ukabila, hiyo RW ni swala la muda tu kurudi kwenye ujinga tena kwa sababu kiongozi wa sasa anapendelea kabila lake na kutesa lile kabila lingine.
Wazee waliona ndio maana hawakuangaika kutaka kuungana.
Jamii zingine hazisahau asili zao.
Tena ajue nchi itafanya operesheni kimbunga ni swala la muda tu, kama ana wahamiaji haramu awatoe haraka sana. 😂😂😂
Pili zaidi ya 30% kwenye vyombo vya usalama wamejaa hao watu. Sijui unaongelea nini.
Tuliza akili brother usinijibu kwa emotions. Mimi naandika facts. Hata hao wakenya soon or later tutakuwa nao kwenye nchi moja. Ni muhimu kuelewa hayo kuliko kubaki na mawazo ya kizamani.