Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Muwage mnawasikia tu hao jw msiwaombee waingie kitaaa,tuwaonege tu wakiwa wamevaa tu Yale makombati, kuna muda nahisi wale wanaopelekwaga sehem za opareshen huwa wanadunia yao sio hii ya mtaaani.
Mkitaka wajua vizur jw ulizieni watu wa mipakan Ile yenye fujo, hao watu washawahi mrusha kigogo wa wilaya kichurachura
Huwezi kuwapima ASKARI kwa operesheni kwa raia
 
Silka ya makabila tuliyonayo na ya Rwanda na Burundi inafanana?
Pia kumbuka zamani na sasa ni tofauti.
Tayari haya ni mataifa unataka kuyaunganisha yenye silka mbili tofauti.
Yote tisa ila ukweli utabakia pale pale waafrika bila kuunguna tutaendelea kuwa wasindikizaji hapa duniani sasa unafikiri kwa mtazamo wako tutakuwaje bila kuunguna
 
Ndo maana nasema tuwaachie wawe wa poli tu wakiingiaa mtaani kufanya opareshen hata wewe usiyemkimbiz utajuta kuwajua
Binafsi, naamini raia ndio mwanajeshi wa kwanza.

Hakuna jeshi liliowahi kushinda vita, kama raia wa nchi hawako upande wao.

Hata Iddi Amin tulimpiga kwasababu waganda walikuwa hawampendi.
 
Sababu kubwa ya kutoungana ipo mpaka leo.

Huko kwingine watu walishagawana nchi zao.

Nyerere hakuwa mbinafsi
Izo ni sheria za nchi hatuwezi kubadilisha ila angalau kuna mambo muhimu na ya msingi inafaa tuunganishe kama sarafu moja, mitahala ya elimu,lugha na mengineyo
 
Yote tisa ila ukweli utabakia pale pale waafrika bila kuunguna tutaendelea kuwa wasindikizaji hapa duniani sasa unafikiri kwa mtazamo wako tutakuwaje bila kuunguna
Hii ndiyo point ya msingi kabisa. Kuna watu wanakuwa na uoga ambao hauna maana yoyote. Deep down ni chuki zisizo na maana. Geza Ulole anamchukia Magufuli mpaka leo. Ukiuliza sababu hana sababu yoyote. Vita ya Banyamulenge huko Congo DR chanzo chake ni Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa za Banga baada ya kuwakataa Banyamulenge kuwa siyo sehemu ya nchi yake.
 
Izo ni sheria za nchi hatuwezi kubadilisha ila angalau kuna mambo muhimu na ya msingi inafaa tuunganishe kama sarafu moja, mitahala ya elimu,lugha na mengineyo
Lengo kubwa ni nini?

Kenya mpaka leo wana TV na Radio zinatangaza Kijaluo na Kikikuyu.

Wame-host kambi za kijeshi za Marekani na Uingereza.

Wewe unaona nchi hiyo iko serious.
 
Izo ni sheria za nchi hatuwezi kubadilisha ila angalau kuna mambo muhimu na ya msingi inafaa tuunganishe kama sarafu moja, mitahala ya elimu,lugha na mengineyo
Kuna sera ya Authenticité aliianzisha Mobutu ndiyo iliyofanya haya yote yanayoendelea mashariki mwa kongo. Citizenship Law of 1981 ya zaire iliibua mambo mengi sana na ilichochea ubaguzi. Makabila mengine kama Zoba wenye asili ya Sudan walikataliwa na Mabutu.

Miaka ya 1970s Mobutu aliwaondoa Luba kwa nguvu kutoka mkoa wa Shaba (sasa Katanga). Wengi walikimbilia Tanzania kama Laurent-Désiré Kabila.

Wabembe, Bafuliru na Bavira walinyimwa haki zao na Mabutu alipendelea kabila lake la Ngbandi. Makabila yote yaliyokuwa Mashariki mwa Zaire yalibaguliwa.

KAMA KUNA WATU WANATAKA KUJUA ZAIDI NITAWAELEZA
 
TANZANIA YETU

1752759670914.png
 
Attachments

Yote tisa ila ukweli utabakia pale pale waafrika bila kuunguna tutaendelea kuwa wasindikizaji hapa duniani sasa unafikiri kwa mtazamo wako tutakuwaje bila kuunguna
Kuungana hakutatupa maendeleo kama sisi wenyewe tuna ufisadi wa nafsi.
Wewe nchi yenyewe iko corrupt leo uje UANZISHE muungano wa mataifa ilhali taifa Moja Moja lina shida!??
Msisingizie vitu vingine,nchi za Afrika mna matatizo makubwa manne na nayataja kwa herufi kubwa.
1.MASSIVE CORRUPTION.
2.LEADERS' SELFISHNESS.
3.ABUSE OF POWER.
4.GREEDNESS OF POWER.
5.NEPOTISM
6.TRIBALISM.
Tatuweni hizi shida ndio muzungumzie maendeleo.
Mathalan Muammar Gaddafi amesalitiwa na waafrika wenzake.
Mnategemea muungane ilhali mna hizo dosari!?
 
Lengo kubwa ni nini?

Kenya mpaka wana TV na Radio zinatangaza Kijaluo na Kikikuyu.

Wame-host kambi za kijeshi za Marekani na Uingereza.

Wewe unaona nchi hiyo iko serious.
Kumbuka Tanzania kuna wajaluo ila wajaluo watanzania hawapo kama walivyo wakenya pointi yangu ni haya mambo yanawezekana na mungano unawezekana ata kama ukiwa ni partial ila ndio njia pekee ya kujikomboa waafrika kutoka kwenye makucha ya nchi za magharibi kama kuna njia tofauti na iyo naomba uziiainishe
 
Izo ni sheria za nchi hatuwezi kubadilisha ila angalau kuna mambo muhimu na ya msingi inafaa tuunganishe kama sarafu moja, mitahala ya elimu,lugha na mengineyo
Mtutsi anaona lugha yake na kabila lake ndio bora zaidi,utampa lugha ipi ya kuungana akuelewe!?
Nenda kama Ethiopia hapo,Oromo,Tigrinyans na Amhara wanapigana kisa ukabila wanataka kupinduana kiutawala kisa ukabila,ndio taifa kama hilo useme liungane na mataifa mengine!??
Aisee embu wazeni nje ya sanduku makaka.
 
Back
Top Bottom