Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna mtanzania anayepata refarral kuja kutibiwa kwenu,ila wakenya kibao wanapata refarral kuja kutibiwa TZ,kuna mkenya namjua aliandikiwa refarral india ambapa cost yake usafiri na matibabu ilikua almost $18000,au aende jakaya kikwete cardiac institute,akaenda TZ,mwenyewe nishakuta mgonjwa mkenya kalazwa ward 1 na ndugu yangu mloganzila,wakenya wakawa wanashangaa tu hospitali ya serikali ward 1 wanakaa wagonjwa wawili tu,kunyan wengi walivyojazwa ujinga kule kwao basi wakifika TZ wanakua wanashangaa kila wanachokiona
Says a dirty bang smoker chokoraa with one shoe.

1751568369857.jpeg
 
Hakuna mtanzania anayepata refarral kuja kutibiwa kwenu,ila wakenya kibao wanapata refarral kuja kutibiwa TZ,kuna mkenya namjua aliandikiwa refarral india ambapa cost yake usafiri na matibabu ilikua almost $18000,au aende jakaya kikwete cardiac institute,akaenda TZ,mwenyewe nishakuta mgonjwa mkenya kalazwa ward 1 na ndugu yangu mloganzila,wakenya wakawa wanashangaa tu hospitali ya serikali ward 1 wanakaa wagonjwa wawili tu,kunyan wengi walivyojazwa ujinga kule kwao basi wakifika TZ wanakua wanashangaa kila wanachokiona
Ukienda,

  • JKCI
  • MNH
  • MOI
  • OCEAN ROADS (Cancer)
  • KCMC
  • NGOYONI

Utawakuta wengi tu
 
Migori yaweza kuwa sawa, maana kama ametokea Sirari ni rahisi kuingilia hapo.

Kuna kitu hasemi kweli
Naona mmeanza kutoka barabarani(street beggars) na kuenda kwa vituo vya polisi kutafuta usaidizi kwa kulia kama mbuzi. Wakenya sisi ni wakarimu sana!
 
Kcmc ndio wamejaa,unajua TZ kwenye takwimu uwa tupo nyuma sana sijui kwanini,wakati wenzetu uwa mpaka wanapika takwimu tu ili kuwapa unafuu flan kwenye mikopo huko in contrary takwimu zao kupika na wako na msoto wa ajabu
Tuko vizuri tofauti ya wao na sisi ni moja: sis hatupigi kelele, yaani tuko kimya.
 
Back
Top Bottom