Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapo wengi tu, TZ ila sisi hatuna shobo nao.

Kuna wengine waliondoka kwa kuponda ,baadaye walivyoenda huko kwingine wakaanza kurudi wenyewe kimya kimya.
Wako wengi. Wengine wamenunua apartments Zanzibar huko

Americans nao ni watu wa kushikwa akili kirahisi. Wanadanganywa sana na Kiki za wakenya mitandaoni. Kuna mwingine nilikutana naye paje. Alifungua biashara Kilimani, siku moja akakuta wamempora kila kitu. Mbona yuko zenji huko. Na kanunua apartment
 
Wako wengi. Wengine wamenunua apartments Zanzibar huko

Americans nao ni watu wa kushikwa akili kirahisi. Wanadanganywa sana na Kiki za wakenya mitandaoni. Kuna mwingine nilikutana naye paje. Alifungua biashara Kilimani, siku moja akakuta wamempora kila kitu. Mbona yuko zenji huko. Na kanunua apartment
TZ kuna vitu huwa wanaona uvivu kuvumilia.
  • Sisi tunaongea Kiswahili chetu (mambo ya language barier)
  • Dar es salaam ni kubwa (wanakaa mpaka Kigamboni, ambako barabara za mitaa bado)
  • Residence permit mpaka uwe na kitu cha kufanya
  • Sera ya ardhi kwa wageni
-
 
Si mnasemaga Tanzania ina low Internet connectivity kwenye data zenu uchwara za online.
Ngoja wawapelekee moto.
Hawatupeleki. As you can see from the comments, Kenyans are not crying like you guys. They're just playing along. Ngoja mtu aje Tz alafu Mkenya acomment eti aje Kenya pia, itakuwa ni vilio hadi bungeni. 🤣 🤣
 
Nairobi, Kenya 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Screenshot_20250703_084431_Google.jpg
 
Tafuta ya kwao hata kwa tochi Kenyatta na Mzee Mandela hizi harakati ndiyo kwasasa zinawauma sana baada ya kugundua kuwa walikosea sana Kipindi Mandela anafariki Jakaya alipata wasaa wakuhubia viombo vya habari kundurenda vianza kuilaumu serikali yao kuwa hawakufanya chochote kipindi cha ukoloni kuwasaidia wafrica wenzetu naona hiyo ndiyo inayo waumiza kichwa saizi na walishachelewa

View: https://vm.tiktok.com/ZNdfth4cT/ utasikia kunyan TZ tunajipendekeza kwa wasouth!
 
Tafuta ya kwao hata kwa tochi Kenyatta na Mzee Mandela hizi harakati ndiyo kwasasa zinawauma sana baada ya kugundua kuwa walikosea sana Kipi ndi Mandela anafariki Jakaya alipata wasaa wakuhubia viombo vya habari kundurenda vianza kuilaumu serikali yao kuwa hawakufanya chochote kipindi cha ukoloni kuwasaidia wafrica wenzetu naona hiyo ndiyo inayo waumiza kichwa sazi na walishachelewa
Kenya ni nchi ya kihuni.

Kenyatta alikuwa na mahusiano mazuri na serikali ya makaburu, na alikuwa anafanya nao biashara.

Mandela alipopata madaraka, wakaomba msamaha kinafiki tu.

Mpaka leo Kenya kwao ni pesa mbele. Hajali UTU.

Kwasasa anafanya biashara ya silaha na kundi la waasi la Sudan Kusini (RSF) na M23. Tena waziwazi, anawakaribisha Kenya kufanya mipango yao.
 
Back
Top Bottom