Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tafuta ya kwao hata kwa tochi Kenyatta na Mzee Mandela hizi harakati ndiyo kwasasa zinawauma sana baada ya kugundua kuwa walikosea sana Kipindi Mandela anafariki Jakaya alipata wasaa wakuhubia viombo vya habari kundurenda vianza kuilaumu serikali yao kuwa hawakufanya chochote kipindi cha ukoloni kuwasaidia wafrica wenzetu naona hiyo ndiyo inayo waumiza kichwa saizi na walishachelewa
Trust me, no Kenyan cares about the BS you're talking about. It's interesting that it's always Bongolalas who keep pushing this BS.
 
Hata ya Bongo Najua … I love Yanga ( Young Africans) …Hata Nikiwa Mdogo back in the days I still remember a player named Zamoyoni Mogera terrorizing Harambee Stars defense on the radio . Trust me I never forget my roots . You can take that to the bank .

Zamoyoni Mogella was a briliant Simba player but anyway thanks for your divisive comment😁
 
Thank You for your kindness. Looking forward to breaking bread with you one day in your dream house in Tandale and we can continue the conversation and you can show me how African your soul is. And be cautious now, don’t let technology colonize you . 🤣🤣🤣
Welcome siku hiyo ndio utaona your American dream is useless. People make more money in Africa easily than anywhere else in the world.
 
Guess the city

FB_IMG_1751528603907.jpg
 
Kenya ni nchi ya kihuni.

Kenyatta alikuwa na mahusiano mazuri na serikali ya makaburu, na alikuwa anafanya nao biashara.

Mandela alipopata madaraka, wakaomba msamaha kinafiki tu.

Mpaka leo Kenya kwao ni pesa mbele. Hajali UTU.

Kwasasa anafanya biashara ya silaha na kundi la waasi la Sudan Kusini (RSF) na M23. Tena waziwazi, anawakaribisha Kenya kufanya mipango yao.
Ndugu yake mmarekani huyo 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom