Nishaachana na wewe mazeh maana wanipotezea muda.Kenya Tourism Board sio credible source? Bure kabisa.
Nishaachana na wewe mazeh maana wanipotezea muda.Kenya Tourism Board sio credible source? Bure kabisa.
Serikali inapata mapato mengi tuu kwemye mining na oil and gas.Kwanini 84% ya wawekezaji ni ya kipindi chote cha uchimbaji?? Huu uwekezaji unaofanywa kwanini usigharamikiwe na kinachozalishwa kwanza halafu baadaye Serikali ipate hata 80% ya faida?? Hapo ndo wajanja wakaja na akili kwamba always wanapata hasara lakini hawaondoki..
Na kama wanapata faida siye ndo wajinga..
Do you hear yourself talking? unafikiri hiyo interest rate kwa 15 years ni kitu kidogo given the nature of over inflated price that you are paying for Talanta. embu piga hesabu vzr uone jinsi mnavoliwa.Bond is not PPP you idiot, they are not going to recoup their money from the stadium but the government will be paying them interest for 15yrs at a rate of 15%, at the end of 15yrs the government will return to them the principle amount they way it was.
Do you even know how bonds work?
siku hizi mikataba inasainiwa hola😂😂una uhakika kalipwa?
ujenzi wake uko wap na ulianza lini??😂😂 😂 Hii sijui mlicopy wapi, lakini si Kenya.
Nairobi Railway City when fully complete is I think bigger than our current CBD, and you're here comparing with some dingy, backwater bus-sheds with designs straight from the 80s 😂😂
Mzee hao wnapenda vitu cosmetic sana kuanzia kwenye data zao hadi kwenye maisha yao ya kila siku hao ni bomu lililo jirani yetu siku likilipuka tutapata shida sana huku kwetu tuliona wakati wa uhaba wa USD walikuja hadi huku kutuletea artificial scarcity sasa siku bomu likilipuka itakuwaje.Exactly. Mimi nawashagaa sana wakenya wanasema ni wasomi wanashindwaje kujua miradi yenye multplier effects?
Wanataka wajenge harakaharaka wafanane na miji ya wazungu lakini wanasahau hawana base.Exactly. Mimi nawashagaa sana wakenya wanasema ni wasomi wanashindwaje kujua miradi yenye multplier effects?
Whatever Tanzania is receiving in 5yrs Kenya does in 1yr. Kwani hata huoni aibu kupost hizi takataka?![]()
16 African nations opt to treat patients in Tanzanian hospitals - Daily News
DODOMA: SIXTEEN African nations have brought their patients for treatment in Dar es Salaam major hospital in the past four years from March 2021 to March this year. The countries opted to bring their patients for treatment due to a significant government investment in strengthening specialized...dailynews.co.tz
Ruto alianza kuipigia debe.Mchina hajajichanganya mkuu target yake ni Mombasa port. Wataitoa tuu maana hakuna namna.
Unadhani tutapea Mchina Bandari ya Mombasa vile mlipea mwarabu Bandari ya Dar? For your information payment of SGR phase 1 and 2A zinaisha 2029.Ruto alianza kuipigia debe.
Nadhani kabla hajamaliza muda wake atakuwa ameshawapa.
Is it 100% the GoK running the Mombasa Port?Unadhani tutapea Mchina Bandari ya Mombasa vile mlipea mwarabu Bandari ya Dar? For your information payment of SGR phase 1 and 2A zinaisha 2029.
Mombasa Port is fully run by KPA which is a government entity.
However, several private companies also play a role in port operations, including those involved in cargo handling, storage, and related services.Mombasa Port is fully run by KPA which is a government entity.
Serikali ina plans gani za kukuwekea misitu ya kuchezea?More of Njedengwa Dodoma. 👇🏾View attachment 3393031View attachment 3393032View attachment 3393043View attachment 3393033View attachment 3393034View attachment 3393035Njedengwa is an upcoming city within the city of Dodoma. Too many projects..
Dodoma itakua centers tatu au nne hivi..
1. Dodoma old town together with NCC link. 👇🏾 sky line yake View attachment 3393039View attachment 33930372. Dom government city
3. Njedengwa
4. Airport city near Msalato international airport.
Kimsingi Dom ni 🔥🔥🔥
All those private entities were given tenders by KPA which expires after sometimes. Your Dar Port on the other hand is fully controlled by Indians and Arabs.However, several private companies also play a role in port operations, including those involved in cargo handling, storage, and related services.
Here's a more detailed breakdown:
Kenya Ports Authority (KPA):
KPA is a state corporation established in 1978 and is mandated to manage and operate all seaports along Kenya's coastline, including Mombasa.
Private Companies:
Various private companies operate within the port, including those involved in cargo handling, storage, and logistics. Some of these companies include:
Grain Bulk Handlers Ltd: A private company involved in handling bulk grains.
Portside Freight Terminals Ltd: Another private company operating within the port.
Maersk: A large international container shipping company that also has operations at the port.
Kenya National Shipping Line (KNSL): A shipping line partly owned by the Mediterranean Shipping Company (MSC).
Specialized Terminals:
The port also features dedicated terminals for handling specific types of cargo, managed by various companies. These include:
Base Titanium: Handles bulk clinker and coal.
Africa Gas and Oil Limited: Handles bulk liquid and gas cargo.
Shimanzi Oil Terminal: Handles bulk liquid cargo.
Container Terminal 2:
The second container terminal at Mombasa was built by the KPA, but there have been discussions and proposals to involve private companies in its management, particularly KNSL.
You are very dumb and stupid.All those private entities were given tenders by KPA which expires after sometimes. Your Dar Port on the other hand is fully controlled by Indians and Arabs.
Hakuna mtanzania anayepata refarral kuja kutibiwa kwenu,ila wakenya kibao wanapata refarral kuja kutibiwa TZ,kuna mkenya namjua aliandikiwa refarral india ambapa cost yake usafiri na matibabu ilikua almost $18000,au aende jakaya kikwete cardiac institute,akaenda TZ,mwenyewe nishakuta mgonjwa mkenya kalazwa ward 1 na ndugu yangu mloganzila,wakenya wakawa wanashangaa tu hospitali ya serikali ward 1 wanakaa wagonjwa wawili tu,kunyan wengi walivyojazwa ujinga kule kwao basi wakifika TZ wanakua wanashangaa kila wanachokionaUshahidi gani unataka tena? I have just showed you 2,300 Tanzanians crossing border every day coming for treatment in Kenya.
TZ hamna refarral ya m TZ kutibiwa kundudwellersAnakwambia eti Kila mwaka raia 2000 wa TZ wanaenda Kenya kutibiwa.
Hiyo article aliyoleta sasa doooh!
Yani non-credible source.