Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Badala ya kujenga mabwawa watu wakalime wanajenga miji🤣🤣🤣
Unakuwa na bajeti ya 33bil usd ila maendeleo 5.bil usd unazidiwa na mwenye 22bil usd kwa dev ya 6 bil usd
Wanatengenezea miji wageni waje kuishi.

Wakati huo huo, Serikali inapambana wapate vibarua nje ya nchi, waache kuwasumbua na badala wawe wanatuma remmitance
 
😂😂😂 Double stack mchina alishakansel week ya kwanza tu ya operation, inampa hasara na in fact containers 5 double stack ya kazi gani? 😂😂😂
The funny thing our SGR does 21k tonnes per day. Yours is doing 700 tonnes per trip.
 
'Kenya bila pesa' still collects more revenue than bongolala and your LDC slum neighbors combined.

The last time the US balanced a budget was over 20 years ago.
In the same period, their GDP has almost tripled.

Show me a country that doesn't borrow, and I'll show you an uneducated bongolala liar.

Speaking of nurses:
Kenya nurses: 82,000
Tanzania nurses + midwives: 47,000

Average monthly nurse salary (USD)

Kenya: $700
Tanzania: $220

If you were to pay your employees even half of what Kenya pay theirs, your budget would have a 80% deficit.

We are not the same. Please compare yourselves to fellow low income earners in Burundi.
Our money is bigger and our problems bigger.
it all goes back to currency purchasing power. Huko kwenu purchasing power ya dollar ni ndogo kuliko Tanzania so usitake tufanane.
 
😂 😂 Hii sijui mlicopy wapi, lakini si Kenya.

Nairobi Railway City when fully complete is I think bigger than our current CBD, and you're here comparing with some dingy, backwater bus-sheds with designs straight from the 80s 😂😂
Show me a modern bus shade in Kenya before tukubali kuwa hii ni design ya 80s
 
Back
Top Bottom