Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,887
- 103,753
View: https://x.com/antowakaba1/status/1940849988067905736
MY TAKE
Ni kama Diamond alifinya hii mbochi!
View: https://x.com/sabtosabato/status/1940823487175889252
Basi tukifanye kisiwa chetu chenye Uongozi wa ndani kama ZanzibarWacomoro ukiwakuta hapo TZ na wenyewe wanataka stahiki zote kana wa TZ,jamaa wanaikubali sana TZ
Tufanye nao Mazungumzo wawe sehemu ya JMT yenye Utawala wake wa Ndani kama ilivyo Zanzibar.Wacomoro ukiwakuta hapo TZ na wenyewe wanataka stahiki zote kana wa TZ,jamaa wanaikubali sana TZ
We have no intensive technology.Not even 50%, it should be 100%. Waafrika tuna shida, why do we need foreigners to mine minerals for us? Like, mining is simply digging something from the ground, how complicated is that?
how many mines does Ukunduni have? Unafikiri modern gold mines adhering to sfety n environmental standards is a walk to the park?Not even 50%, it should be 100%. Waafrika tuna shida, why do we need foreigners to mine minerals for us? Like, mining is simply digging something from the ground, how complicated is that?
Kuna yule dada Mzimbabwe ana Kiswahili kimenyooka balaa halafu sasa amejifunza ndani ya muda mfupi tu.Tupo vizuri sana,ndio maana upande wa sadc kuna intern doctors kibao wamejaa mloganzila,muhimbili,kairuki n.k
Wapo wengi tu,wasudan pia bado wapoKuna yule dada Mzimbabwe ana Kiswahili kimenyooka balaa halafu sasa amejifunza ndani ya muda mfupi tu.
Wamejazana kkoo na huwezi kusikia mcomoro kakamatwa kwa uhamiaji haramuBasi tukifanye kisiwa chetu chenye Uongozi wa ndani kama Zanzibar
Na in fact Huwa hawabughuziwi Kwa lolote na mamlaka.
It comes out nicely kama Washington DCMore of Njedengwa Dodoma. 👇🏾View attachment 3393031View attachment 3393032View attachment 3393043View attachment 3393033View attachment 3393034View attachment 3393035Njedengwa is an upcoming city within the city of Dodoma. Too many projects..
Dodoma itakua centers tatu au nne hivi..
1. Dodoma old town together with NCC link. 👇🏾 sky line yake View attachment 3393039View attachment 33930372. Dom government city
3. Njedengwa
4. Airport city near Msalato international airport.
Kimsingi Dom ni 🔥🔥🔥
Picha za kuunga unga.View attachment 3393199View attachment 3393200View attachment 3393201View attachment 3393202
Kisumu Haina league yake Tanzania.
Your English comprehension is very bad. Tofautisha kati ya umiliki na kukodisha huduma.DP World and Adani si ndio wanamiliki Dar Port?
Wazimbabwe ni rahisi sana kujifunza Kiswahili, kwasababu kinafanana sana Shona.Kuna yule dada Mzimbabwe ana Kiswahili kimenyooka balaa halafu sasa amejifunza ndani ya muda mfupi tu.
Kesi ya Tundu Lissu mahakamani. Lissu followers were at the vicinity in droves.What is he doing!
Wakomoro tumekuwa tukiwabeba sana kama taifa bila kupata faida yoyote hii inaonesha Tanzania inajali undugu na utu kuliko maslahi kwanza kama jirani. ATCL inaenda uko, cargo ships zinaenda huko,wacomoro wengi Tz ni kama nyumbani tuu.Wacomoro ukiwakuta hapo TZ na wenyewe wanataka stahiki zote kana wa TZ,jamaa wanaikubali sana TZ
Ni vile TBS hawanaga mambo ya takwimu,ila comoro 90% ya bidhaa wanachukua TZ,hadi mkaa jamaa wanachukua kwetu aiseeWakomoro tumekuwa tukiwabeba sana kama taifa bila kupata faida yoyote hii inaonesha Tanzania inajali undugu na utu kuliko maslahi kwanza kama jirani. ATCL inaenda uko, cargo ships zinaenda huko,wacomoro wengi Tz ni kama nyumbani tuu.
Hata Hilo neno “umiliki” huyo mnuka nnya hajui maana yake ni nini. Usimtilie maanani huyo.Your English comprehension is very bad. Tofautisha kati ya umiliki na kukodisha huduma.
Nchi zote ambazo ni visiwa ni HEAVY IMPORTERS.Ni vile TBS hawanaga mambo ya takwimu,ila comoro 90% ya bidhaa wanachukua TZ,hadi mkaa jamaa wanachukua kwetu aisee