IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,284
- 9,435
0 brain bhana 🤣🤣🤣Kojoa ulale.
Ruto is in London to secure the bag as we speak.
Wacha mama atafute kura 😂 😂
Beggars would ride😂😂If wishes were horses
Leo mko na shida as UAE sweeps up all your national assets 😂 😂0 brain bhana 🤣🤣🤣
Kojoa ulale.
Ruto is in London to secure the bag as we speak.
Wacha mama atafute kura 😂 😂
Wengi wamerudi kimya kimya,na huko kenya sasa hivi hawatakiwi,nchi ambayo wenyewe kwa wenyewe wanabaguana hawawezi kuishi na wa kutoka mataifa mengineWapo wengi tu, TZ ila sisi hatuna shobo nao.
Kuna wengine waliondoka kwa kuponda ,baadaye walivyoenda huko kwingine wakaanza kurudi wenyewe kimya kimya.
bag gani na viwanda vyote vimekufa nchi haina pesa hata ya kulipa nurses mpaka ikope pesa kutoka IMf 😂😂😂😂Kojoa ulale.
Ruto is in London to secure the bag as we speak.
Wacha mama atafute kura 😂 😂
Another render to make Darslum sh*t bricks 😂 😂
Nairobi Railway City
- Work has already began on the first 2200 housing units on the site.
* Total upon completion - 30,000 units.
* 70 - 100 highrise towers of 24 floors each (About 10 times more than they have in Mikochini na sijui Morocco combined)
* Money is available 😂😂. Building capacity ndio tunakosa sasa hivi. The housing fund is overflowing.
Bongoslum hoiyeee.. Mama Tano tena 😂
- Prerequisite pedestrian underground tunnel weeks from competition.
- Combine Railway City + Nairobi River Park + Affordable housing, I dare say Nairobi will be unrecognizable in 5 years.
View: https://www.youtube.com/watch?v=0O_MCUGS5og
View attachment 3391815
Sisi dodoma tumeshindwa kupanda mitiiWapande miti ya kutosha hatakama ni jangwa
Kenya walikimbia labda ugumu wa maisha. Ila Nairobi ilivyojengwa, ni kwaajili ya wageni.Wengi wamerudi kimya kimya,na huko kenya sasa hivi hawatakiwi,nchi ambayo wenyewe kwa wenyewe wanabaguana hawawezi kuishi na wa kutoka mataifa mengine
Dodoma kuna program.ya kupanda miti kwa kushirikiana na JKT, TFSSisi dodoma tumeshindwa kupanda mitii
Which bag?Kojoa ulale.
Ruto is in London to secure the bag as we speak.
Wacha mama atafute kura 😂 😂
Wako wengi. Wengine wamenunua apartments Zanzibar hukoWapo wengi tu, TZ ila sisi hatuna shobo nao.
Kuna wengine waliondoka kwa kuponda ,baadaye walivyoenda huko kwingine wakaanza kurudi wenyewe kimya kimya.
TZ kuna vitu huwa wanaona uvivu kuvumilia.Wako wengi. Wengine wamenunua apartments Zanzibar huko
Americans nao ni watu wa kushikwa akili kirahisi. Wanadanganywa sana na Kiki za wakenya mitandaoni. Kuna mwingine nilikutana naye paje. Alifungua biashara Kilimani, siku moja akakuta wamempora kila kitu. Mbona yuko zenji huko. Na kanunua apartment