He is too dumb to see. 🤣 🤣 🤣 🤣This is MGR you idiot.
He is too dumb to see. 🤣 🤣 🤣 🤣This is MGR you idiot.
Enyewe ndio nini?59%???
Enyewe hiii nchi ya madini ni LDC proper!
View: https://x.com/BD_Africa/status/1940717154745438689?t=gwPE2-TyMSKTQKg1bguT-Q&s=19View attachment 3392699
My Take
Kwa upande wa Tanzania mapema mwakani tunaanza kuuza umeme Zambia baada ya mradi wa TAZA kukamilika.
Kenya madini mnayo ila wanachimba BATUK na Wachina wahuni59%???
Enyewe hiii nchi ya madini ni LDC proper!
Ng'ombe ni ng'ombe tu.He is too dumb to see. 🤣 🤣 🤣 🤣
Kenya madini mnayo ila wanachimba BATUK na Wachina wahuni
Nilimsikia Rais akimwambia DG Mpya wa Tanesco waanze kufikiria kujenga vinu vya nuclear.
Sio jambo la ajabu maana hata Uganda na Kenya wako kwenye Mpango wa kujenga hizo reactors,Uganda ndio Yuko ahead zaidi.
View: https://www.instagram.com/p/DLmhGw-q1TI/?igsh=Nmt1dTJ2bnlwODc4
That's health, nd we have covered the gap.59%???
Enyewe hiii nchi ya madini ni LDC proper!
Tanzania tumeanza kujikongoja wenyewe nje ya misaada kwa kuanzia sekta ya afya.That's health, nd we have covered the gap.
But, on overall aid, Kenya was highly dependant on USAID.
Watanzania wameachiwa kuchimba VISIMA VYA MAJI... Madini wanachimba ACACIA wenzake..Kenya madini mnayo ila wanachimba BATUK na Wachina wahuni
Pesa ya Serikali au Deni la Taifa?Tanzania tumeanza kujikongoja wenyewe nje ya misaada kwa kuanzia sekta ya afya.
Juzi tu nimempeleka wife clinic aisee vipimo vingi vilivyokua vinatolewa kwa hisani ya Amerika havipo na vinakuwa provided na serikali yenyewe kwa pesa zake.
Pesa ya serikali.Pesa ya Serikali au Deni la Taifa?
Whatever lakini serikali ina hisa 16% na wachimbaji wanalipa kodi na mirabaha.Watanzania wameachiwa kuchimba VISIMA VYA MAJI... Madini wanachimba ACACIA wenzake..
Whatever lakini serikali ina hisa 16% na wachimbaji wanalipa kodi na mirabaha.
Lakini pia serikali imeanza kuwanunulia vifaa wachimbaji wadogo.
Hakuna nchi yenye mipango yenye afadhali ya kuwezesha wananchi wake kama Tanzania (tuna matatizo yetu ndio) ila kwenye hili tunajitahidi.
Kinachotuangusha kama vijana ni viroho fulani vya ubinafsi na roho mbaya za ndani ndani na kushindwa kufanya kazi kwa kushirikiana.
View: https://youtu.be/KAZOs4KwhUU?si=K01eXAI0MUB3eqNs