Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MY TAKE
Ile Kisumu inashindana na Mwanza ipo wapi?
FB_IMG_1751095237557.jpg
FB_IMG_1751095247967.jpg
kisumu aerial 2.jpg
kisumu 3.jpg

Kisumu Haina league yake Tanzania.
 
Bado wanaingia ile mikataba ya kijinga kijinga kama ya buzwagi
It is high time mgodi wowote au madini yoyote yanayochimbwa yamilikiwe na watanzania au 50% sio chini ya hapo iwapo kweli tunataka maendeleo ya kweli tunazalisha wasomi wanaishia kuwa machawa badala ya kuhodhi izi nafasi japo sheria zimebadilka but it is not enough
 
Whatever lakini serikali ina hisa 16% na wachimbaji wanalipa kodi na mirabaha.

Lakini pia serikali imeanza kuwanunulia vifaa wachimbaji wadogo.

Hakuna nchi yenye mipango yenye afadhali ya kuwezesha wananchi wake kama Tanzania (tuna matatizo yetu ndio) ila kwenye hili tunajitahidi.

Kinachotuangusha kama vijana ni viroho fulani vya ubinafsi na roho mbaya za ndani ndani na kushindwa kufanya kazi kwa kushirikiana.

View: https://youtu.be/KAZOs4KwhUU?si=K01eXAI0MUB3eqNs

Tatizo sio roho mbaya ila ni uwajibikaji, ilo ndio janga kubwa la taifa letu
 
It is high time mgodi wowote au madini yoyote yanayochimbwa yamilikiwe na watanzania au 50% sio chini ya hapo iwapo kweli tunataka maendeleo ya kweli tunazalisha wasomi wanaishia kuwa machawa badala ya kuhodhi izi nafasi japo sheria zimebadilka but it is not enough
Not even 50%, it should be 100%. Waafrika tuna shida, why do we need foreigners to mine minerals for us? Like, mining is simply digging something from the ground, how complicated is that?
 
Not even 50%, it should be 100%. Waafrika tuna shida, why do we need foreigners to mine minerals for us? Like, mining is simply digging something from the ground, how complicated is that?
We have no intensive technology.

We have no intensive capital (Ruto mwenyewe anazurura dunia nzima huko hakopesheki.

Lakini pia hatuna control nzuri ya masoko.

Tatizo kubwa liko hapo, ndio maana Africa still exports raw materials.
 
Not even 50%, it should be 100%. Waafrika tuna shida, why do we need foreigners to mine minerals for us? Like, mining is simply digging something from the ground, how complicated is that?
how many mines does Ukunduni have? Unafikiri modern gold mines adhering to sfety n environmental standards is a walk to the park?
 
Back
Top Bottom