The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Achana na mambo ya diamond, kipigo cha juzi unakizungumziaje 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View: https://vm.tiktok.com/ZNdyMLtYf/ looks ukunyan ukivaa jezi ya Yanga basi umeyapatia,huyu demu wa kikunya hii jezi aivui huko tiktok
Naona wanaandama na jezi za yanga tena za mwaka jana huko
Tanzania is really influencial here in East Africa.
Tanzania ni kama maji tu
View: https://www.instagram.com/reel/DLUu6kbtl2p/?igsh=MXhidTU5Y2loYm9seg==
Soka,music,chakula na ajira vyote tegemeo lao ni kwetu,kunyan bila TZ awatoboiYani ukitaka kujua wakenya tumewatawala kwenye soka angalia kavaa jezi ya Yanga na haiongelei, kwamba kama mm nivae jezi ya Man u it's not a big deal.
Umesahau Kenya kutegemea Machokoraa?Soka,music,chakula na ajira vyote tegemeo lao ni kwetu,kunyan bila TZ awatoboi
Ngoja tuwaongezee majengo hapo.Asanteni majirani kwa hili jengo..
View attachment 3385048
Ngoja tuwaongezee majengo hapo.
View: https://x.com/JMakamba/status/1802981940594655583?t=ot1W0jN1zuX24-HawwuL6w&s=19
dah kiongozi umeniacha mfiduo ndio nini?Kanaonekana kamekulia kwenye umasikini, na kana ukosefu wa mfiduo. 😂😂😂
Nairobi CBD hiyo. 🤣🤣🤣 hii na tandale tofauti yake ni magorofa tu. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DLWrQodtXBG/?igsh=dXMyYnFmZmtmcXBm.
Tofauti ya Nairobi na Bangladesh ni ipi wakuu.? 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DLWrqjhtZbv/?igsh=MXBlOGRycnkzbjRpNg==.
Ukosefu wa mfiduo yaani Lack of exposure. 😂😂😂dah kiongozi umeniacha mfiduo ndio nini?
That street has always been dirty stop hiding kwenye kichaka cha mandamano.You expected the streets to be clean, nice and tidy on a day of demonstrations and chaos all over? Why do you people like consoling yourselves this much?
Tunataka spaces.Ila nyinyi mmeshindwa kuongeza kwenu.
Nimeibeba hiyo na ninatamba nayo.Ukosefu wa mfiduo yaani Lack of exposure. 😂😂😂
Don't you have a lot of spaces in your dirty country?Tunataka spaces.
Hatutaki concete jungle
Kiswahili ni pana. 😂😂😂Nimeibeba hiyo na ninatamba nayo.
Hatuna mtaji wala technical know how ya ku proceed to realize the investment. we need a deliberate policy to empower our people on various technologies and a guaranteed financing mechanism such as proceeds from gold can be reinvested in strategic sectors kama hizo za iron ore mining, uranium etc. we also need to create local capacity for our companies to be able to hoard these commodities and compete on the global scale.tunafanya makosa kuwapa global giants licences ni kama vile Mchuchuma kwa Mchina! Madhumuni yao ni kuwa na monopoly kwenye hizi biashara!