Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is Dar is a slum ... oooopps huko hakunanga paved roads.

Dodoma ... oooopps pia huko hakunanga paved roads.

Garden Estate ✅

Image
Hii picha leo imetumwa mara saba
 
Miaka ya 90's kulikua na hio Howo Truck bongoslum. Kudanganya wakenya inahitaji mtu ana akili.
Utakuwa umetumia AI kutengeneza picha hiyo. Wakenya tunawajua mwezi uliopita tu mmetengeneza picha nyingi kwa kutumia AI kuwadhalilisha viongozi wa Tanzania
 
Utakuwa umetumia AI kutengeneza picha hiyo. Wakenya tunawajua mwezi uliopita tu mmetengeneza picha nyingi kwa kutumia AI kuwadhalilisha viongozi wa Tanzania
Picha za AI zinajulikana, kama wewe hujui kutofautisha, basi hio ni shauri yako.
 
Back
Top Bottom