Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


View: https://www.facebook.com/100044190621236/posts/pfbid028sD87mnGdRNUCMiTdJhY41kqDRNHMHdmo3MdEgngC2PFyTTeLHjP6vrFcKk5mv4bl/


MY TAKE
Travelling like a boss!

Ruto akipanda SGR mpaka mombasa akishuka suti yote itakuwa imejaa carbon dust
 
haya walitakiwa wayaruhusu 3 yrs back sio leo yani hua tunafanya mambo kwa kuchelewa sana sijui hua tunashida gan?
Shida ni vested interests mkuu unafikiri wenye biashara ya mafuta watakubali kirahisi hivyo lobbying yao serikalini ilikuwa kubwa ku delay hii issue na hata gas pipeline za TPDC kwenye residential areas imekuwa delayed kwa muda mrefu zaidi ya 10 years now wameweka infrastructure in few places only sasa hivi ndio wanasambaza in a large scale.
 
Lumumba street Kariakoo.. hizi barabara zikimaliza ujenzi, town itakua yamoto sana 🔥🔥🔥
IMG_9344.jpeg
IMG_9342.jpeg
 
Back
Top Bottom