Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wanaumia sana. Naona na Waganda wameanza kuwaiga wakenya. Hakuna Mtanzania anaweza kwenda kwenye page ya mtu amepost kuhusu Kenya a comments Tanzania

Mtu mpaka anapanga safari yake kutoka huko maana yake kafanya research
Jamaa wana wivu mno,kwa roho zao zile watazidi kuumia kila miaka inavyozidi kwenda
 
Sasa 20b inafanya nini?

Analipa kiasi gani matangazo yake kwenye Jezi?

Mo ni mhuni
Bilion 20 inatoa sh 3.5 billion kila mwaka towards gharama za kuendeshea Simba. Mo cola wanatao 400m kila mwaka kwa matangao yao kwenye jezi na kuna tangazo lingine tena kwenye jezi Mo analipia.
Amabacho sijui ni upande wa pili GSM anatoa sh ngapi kwa matangao ya kwenye jezi 😁
 
Utopolo utawajua tu. Simba ni Club ya 5 barani Africa. Mwaka huu imecheza finali kombe la shirikisho. Sasa tueleze Simba inasua sua wapi?
Kigwangwala njaa tuu alinyimwa
iko wapi hio bond bro no where to be seen hata kiwangwala aliposema kawasiliana na bank zote tanzania hakukua na ushahidi wowote kua pesa hzo zimewekwa

mo ni tapeli bro na ndio maana hata simba inasuasua sana kiundeshaji na ni kawaida ya wahindi mostly ni matapeli sana
Kigwangwala njaa tuu alinyimwa mkopo wa bodaboda na Mo kwenye kampeni zake akaamua kumchafua Mo. Budget ya Simba mwaka jana ilikuwa 8bn mwaka huu inaenda kugonga 12bn unafikiri hela inatoka wapi?
 
Bilion 20 inatoa sh 3.5 billion kila mwaka towards gharama za kuendeshea Simba. Mo cola wanatao 400m kila mwaka kwa matangao yao kwenye jezi na kuna tangazo lingine tena kwenye jezi Mo analipia.
Leta ushahidi wa hizi gharam wote tuone
Amabacho sijui ni upande wa pili GSM anatoa sh ngapi kwa matangao ya kwenye jezi 😁
Mimi ninachojua kwa GSM kila kitu huwa kiko wazi.

Mkataba wa Gboost, 1b kwa miaka 5.
 
Nairobi River Basin Project
Lucky Summer

Screenshot 2025-06-25 153857.png
Screenshot 2025-06-25 153935.png
Screenshot 2025-06-25 154013.png
Screenshot 2025-06-25 154040.png
 
Back
Top Bottom