Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehe

700 tones Vs 4,000 tones.

Tuliwaambia hakuna mizigo ya maana that refurbished trains of yours will carry since almost all cargo at Dar Port stops at Dar is slum. This 4,000 tonnes was when our SGR started operation.

In 2024 and 2023 our SGR did 17,800 tonnes per day. In 2025 Q1 it did, 20,222 tonnes per day wakati yenu is struggling to reach 700 tonnes per day😂😂😂

1751015683698.png
 
Kweli Watanzania hawana akili. Tournament is happening in your country yet mnaenda kujiandaa Egypt, for what purpose exactly?
Dunia inajua wakenya wote hawana akili. Hujui kuanzia Tarehe 28 June 2025 mambo ya uchaguzi yataanza? Leo Rais analivunja bunge. Kwahiyo Timu inatakiwa iwe kwenye utulivu.

You are always Stupid kwikwikwikwikwi
 
Hehehe

700 tones Vs 4,000 tones.

Tuliwaambia hakuna mizigo ya maana that refurbished trains of yours will carry since almost all cargo at Dar Port stops at Dar is slum. This 4,000 tonnes was when our SGR started operation.

In 2024 and 2023 our SGR did 17,800 tonnes per day.

View attachment 3385602
Leo ni siku ya kwanza.

Na hizo tani 700 ni mzigo wa mtu mmoja, Azania Group.

Mbona unakaza sana FUVU unnecessarily??
 
On our first trip SGR did 4,000 tonnes. Again I’m not sure Kama ni ya mtu mmoja but if it’s true then you have just confirmed my point that your cargo train will have no customers since 90% of Cargo at Dar Port end in Dar is slum. The remaining 7% goes to Zambia, Malawi and Zimbabwe, only 1% goes to Dodoma and Mwanza😂😂
 
Kwani ni mashindano.

Kila shirika lina utaratibu wake. Planning hazifanani

Ndio maana sisi tuna electric nyinyi mna diesel.

Ninyi mlichagua kutoa Mombasa kwenda Nairobi, Naivasha.

Sisi tunapeleka Mwanza, Burundi.
 
On our first trip SGR did 4,000 tonnes. Again I’m not sure Kama ni ya mtu mmoja but if it’s true then you have just confirmed my point that your cargo train will have no customers since 90% of Cargo at Dar Port end in Dar is slum. The remaining 7% goes to Zambia, Malawi and Zimbabwe, only 1% goes to Dodoma and Mwanza😂😂

Uongo wa wazi wazi​

Safari ya kwanza ya kibiashara ya treni ya mizigo ya Standard Gauge Railway (SGR) nchini Kenya, iliyofanyika tarehe 1 Januari 2018, ilibeba jumla ya makontena 104.

Ya Tanzania haijabeba container.

Also 4,000 tonnes is a maximum capacity of Kenya SGR na si vinginevyo
 
On our first trip SGR did 4,000 tonnes. Again I’m not sure Kama ni ya mtu mmoja but if it’s true then you have just confirmed my point that your cargo train will have no customers since 90% of Cargo at Dar Port end in Dar is slum. The remaining 7% goes to Zambia, Malawi and Zimbabwe, only 1% goes to Dodoma and Mwanza😂😂
Mnapenda sana virtual things 🤣 🤣 🤣 🤣

KigezoSGR ya KenyaSGR ya Tanzania
Axle Load25 tani kwa axle35 tani kwa axle
Uwezo wa Gari Moja~60–80 tani (makadirio ya kawaida)120 tani kwa gari moja
Idadi ya Magari kwa Treni~108 TEUs (makontena)Takriban 100+ (inategemea uzito na urefu)
Uwezo wa Treni Moja~3,000–4,000 taniHadi 10,000 tani kwa safari moja
Uwezo wa Mwaka~6 milioni tani (malengo ya Kenya Railways)Hadi 17 milioni tani (kwa mfumo mzima)
Design Speed ya Mizigo80 km/h120 km/h (kwa treni za mizigo)
Nguvu ya Injini~4,000 HP8,000 HP (locomotives za kisasa zaidi)
 
Kwani ni mashindano.

Kipa shirika lina utaratibu wake. Planning hazifanani

Ndio maana sisi tuna electric nyinyi mna diesel.

Ninyi mlichagua kutoa Mombasa kwenda Nairobi, Naivasha.

Sisi tunapeleka Mwanza, Burundi.
Mnapeleka Burundi? Burundi na Mwanza ina mizigo gani?😂😂😂
 
Also 4,000 tonnes is a maximum capacity of Kenya SGR na si vinginevyo
Our SGR is currently doing 21,000 tonnes per day. So kama ulidanganywa our capacity is capped at 4,000 then shauri yako 😂 😂 😂 🤡
 
Mnapenda sana virtual things 🤣 🤣 🤣 🤣

KigezoSGR ya KenyaSGR ya Tanzania
Axle Load25 tani kwa axle35 tani kwa axle
Uwezo wa Gari Moja~60–80 tani (makadirio ya kawaida)120 tani kwa gari moja
Idadi ya Magari kwa Treni~108 TEUs (makontena)Takriban 100+ (inategemea uzito na urefu)
Uwezo wa Treni Moja~3,000–4,000 taniHadi 10,000 tani kwa safari moja
Uwezo wa Mwaka~6 milioni tani (malengo ya Kenya Railways)Hadi 17 milioni tani (kwa mfumo mzima)
Design Speed ya Mizigo80 km/h120 km/h (kwa treni za mizigo)
Nguvu ya Injini~4,000 HP8,000 HP (locomotives za kisasa zaidi)
Treni haijaingia bandarin bado
 
Hizi vitu unatuonyesha ndio virtual. On ground our SGR is doing 21,000 tonnes a day while yours is doing 700 tonnes😂😂
 
Back
Top Bottom