Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,900
- 103,770
Acha ujinga wewe umeona hapo Raisi anazigawa? Level of stupidity mgombea uraisi kabisa kugawa kampeni yeye.Lakini hutopata Wakenya wakimshukuru Rais kwa kuwapea chapati. Watachukua, wakule alafu wamwambie aache ujinga.
Nairobi CBD hiyo. 🤣🤣🤣 hii na tandale tofauti yake ni magorofa tu. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DLWrQodtXBG/?igsh=dXMyYnFmZmtmcXBm.
Sio kitu normal a tumeona ikifanyika more than once, tena in different years. Mkokoteni bado zinatumika bongoslum, huwezi tudanganya. Expressway hata pikipiki huwezi pata.Sio kitu normal ndio maana ilisababisha usumbufu na ikaripotiwa na saivi hakuna haya mambo yalishadhibitiwa lakini Kunyaland mpaka expressway zinapita kama kawa
What do you mean, you nyang’au?😎Stop living in denial bongolalas…
Imagine na kuzungu chote halafu umebeba mkokoteni. 🤣🤣🤣Ovyo sana.
Sema hawashauriki na wanapenda kujifariji kwa ujinga.
Nairobi ni ndogo sana na imezidiwa.
Na uchumi wa hustling umeua ORDER na organisation
Unajua mnabishana lakini kwenye issue moja tu. Tofauti ya azam na Mo ni set up ya biashara zao. Azam anawekeza kwenye vitu vinavyomgusa Mwananchi directly . Mo ni mfanyabiashara anaangalia wapi atapata faida. The same with rostam. Anaangalia soko liko wapi. Anacheza uko. Mfano gesi. Mkonge dengu mbaazi na ufuta ambazo ndio biashara kubwa za Mo. Lakini bakharessa sukari anajenga kiwanda Tanzania kinasupply nchi zingine na ndani. Juice hivyo hivyo. Ngano. Usafirishaji media , construction. Logistics lazima zianzie Tanzania. Azam pesa. Ndio zisambae nchi zingine.Hata Azam anayo united petroleum
About
View attachment 3382150
With the firm belief that optimal vehicle performance begins with a clean engine, the Bakhresa Group entered the petroleum industry in 2016 by founding United Group Limited to distribute premium refined fuels. In 2017, we released a series of carefully top-of-the-line products under the trade name United Petroleum. Products which are refined to serve our clients who are based mainly in Zanzibar and Dar es Salaam.
Our product range includes, though not limited to, unleaded petrol, Kerosene innovative oils and greases as well as the 50ppm low sulphur content diesel. Our selection is based on products which guarantees optimum performance, outstanding protection, long lubricant life and system efficiency.
While our unleaded petrol is adequate for sophisticated automobiles and is available all-year long, we are compliant to 50 parts per million (PPM) low sulphur Gasoil. We also provide kerosene which fulfils Jet A1 and TBS requirements, making it appropriate for jet propulsion engines, cooking, and lighting.
To ensure the delivery of high-quality products, the Bakhresa Group has invested in cutting-edge facilities and logistics, such as our own depot, a marine charter, tanker trucks, and petrol stations. We are, in fact, the proud owner of Zanzibar’s largest depot currently under construction that will allow us to offer flawless bunkers to sensitive boat engines via serving purified Bunkers
Anazo mpaka meli za mafuta kwa ajili ya kusafirisha
TANKER CHARTER
We are currently spot chartering our marine tanker which is a Lloyds class double hull double bottom tanker. United Spirit 1 IMO no 934751 is of LOA 88.67meters, GRT 2965mt, and Summer Deadweight of 3778mt.
The total cubic capacity is 4173.5m3. It has 6 cargo pumps with separated pipelines and two pumps can run simultaneously with discharge capacity of 550m3 per hr.
Utajiri unapimwa kwa asset sio mauzo , unaweza ukawa na mauzo makubwa ila mali Huna, issue ya Azam investment zake Zina value tofauti na mo ingawa mo anaweza akawa anauza sanaUnajua mnabishana lakini kwenye issue moja tu. Tofauti ya azam na Mo ni set up ya biashara zao. Azam anawekeza kwenye vitu vinavyomgusa Mwananchi directly . Mo ni mfanyabiashara anaangalia wapi atapata faida. The same with rostam. Anaangalia soko liko wapi. Anacheza uko. Mfano gesi. Mkonge dengu mbaazi na ufuta ambazo ndio biashara kubwa za Mo. Lakini bakharessa sukari anajenga kiwanda Tanzania kinasupply nchi zingine na ndani. Juice hivyo hivyo. Ngano. Usafirishaji media , construction. Logistics lazima zianzie Tanzania. Azam pesa. Ndio zisambae nchi zingine.
Tofauti ya Nairobi na Bangladesh ni ipi wakuu.? 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DLWrqjhtZbv/?igsh=MXBlOGRycnkzbjRpNg==.
What did you understand bongolala? I know your comprehension levels are below averageWhat do you mean, you nyang’au?😎
You are just another stupid nyang’au afaik😂What did you understand bongolala? I know your comprehension levels are below average
Nairobi CBD hiyo. 🤣🤣🤣 hii na tandale tofauti yake ni magorofa tu. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DLWrQodtXBG/?igsh=dXMyYnFmZmtmcXBm.
Mmeamua kuleta picha za siku ya maandamo kijifariji nazo hapa bongolalasOvyo sana.
Sema hawashauriki na wanapenda kujifariji kwa ujinga.
Nairobi ni ndogo sana na imezidiwa.
Na uchumi wa hustling umeua ORDER na organisation
Hatucheki maandamano, tunacheki mazingira hayo wanayopita watu.Mmeamua kuleta picha za siku ya maandamo kijifariji nazo hapa bongolalas
Ni volume plus asset.Utajiri unapimwa kwa asset sio mauzo , unaweza ukawa na mauzo makubwa ila mali Huna, issue ya Azam investment zake Zina value tofauti na mo ingawa mo anaweza akawa anauza sana
Mo alichukuwa mashamba makubwa ya mkonge. Ila anazalisha mkonge sio kutoka kwenye mashamba yake. Bali kutoka kwa wazalishaji binafsi. Ila kakopa mikopo mikubwa kutokana na hayo mashamba anawekeza kwenye viwanda vyake vingine vyenye kutoa faida nchi zingineNi volume plus asset.
You expected the streets to be clean, nice and tidy on a day of demonstrations and chaos all over? Why do you people like consoling yourselves this much?Hatucheki maandamano, tunacheki mazingira hayo wanayopita watu.