Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Karen watu wanajenga mansions on 2 acre land while huko bongoslum Diamond anajenga kwa plot ya 40 by 80. 🤣 🤣 🤣 Rolls Royce atakua anaipark karibu na perimeter wall kama zile nyumba za afrocinema.

Peponi-Co-Mbagathi-USD-3m-4.jpeg
Peponi-Co-Mbagathi-USD-3m-7.jpeg


Peponi-Co-Mbagathi-USD-3m-14.jpeg
Peponi-Co-Mbagathi-USD-3m-15.jpeg

Peponi-Co-Mbagathi-USD-3m-3.jpeg
Peponi-Co-Mbagathi-USD-3m-23.jpeg
Hii nyumba ni mbaya bhana. 🤣🤣🤣 kutengeneza nyumba porini si kitu ya kujifu bhana.
 
Lakini hutopata Wakenya wakimshukuru Rais kwa kuwapea chapati. Watachukua, wakule alafu wamwambie aache ujinga.
Acha ujinga wewe umeona hapo Raisi anazigawa? Level of stupidity mgombea uraisi kabisa kugawa kampeni yeye.

Hapo si wanagawa machawa level ya wajumbe unajua hata wajumbe?

Tupe any info ya Tanzania Raisi na Makamu wa Raisi wanagawa chapoo Tz?
 
Sio kitu normal ndio maana ilisababisha usumbufu na ikaripotiwa na saivi hakuna haya mambo yalishadhibitiwa lakini Kunyaland mpaka expressway zinapita kama kawa
Sio kitu normal a tumeona ikifanyika more than once, tena in different years. Mkokoteni bado zinatumika bongoslum, huwezi tudanganya. Expressway hata pikipiki huwezi pata.
 
Back
Top Bottom