Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa ni Kariakoo a few kilometers from Posta CBD na barabara haijawai kuona lami tangu Mungu aumbe dunia. 🤣 🤣 🤣


View: https://x.com/EJ_Mwita/status/1924777446307500380

Moja ya stendi za matatu katikati ya jiji la Nairobi June 26 2025
1750932650998.jpg

1750932653420.jpg

1750932653420.jpg
 
I am saving this photo to shame you with in a few months' time. Talanta has no running track kijana wa Tandale. Hiyo ni barabara inatumiwa na trucks zinazoleta bidhaa za ujenzi. Ama wewe hapo unadhani building materials zinashuka kutoka mbinguni na kutua hapo?

Ama unajifanya huoni hizo trucks I have circled in red using the designated area you call a running track?
Dofoto_20250626_154501845.jpg


Ugua pole
images - 2025-06-26T154001.425.jpeg
 
Back
Top Bottom