Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do you even know what data you're looking at?

In 2023, Dar city collected - Tsh 81 B ( Ksh 3.9 B)
In 2024, they hoped to increase that to - Tsh 89 B (Ksh 4.3B)

In the same period, Nairobi, which you keep singing is smaller, did Tsh 451 B (12.8 B). Triple

The counties you are comparing to DarSlum are basically small towns in the middle of nowhere. What are you going to tax pastoralists?

View attachment 3381693
Kumbe hata kiingereza kigumu kwenu
Dar es salaam Ina municipal Tano . Ilala , temeke, kigamboni,kinondoni na ubungo. Dar city council ni jina tu la manispaa ya ilala ambayo ndo makadirio yake yanazungumziwa hapo.
 
Dar city mentioned there is Ilala Municipality.

But, the whole Dar es Salaam city comprises of Temeke, Ilala, Kigamboni, Kinondoni, and Ubungo,
Hahaha ubaya hawapendag hata kujielimisha kabla ya kupost🥰🥰🥰🥰
Hata hivyo anakubali kuwa manispaa moja ya ila ni zaid ya county nzima ya narok🥰🥰🥰
 
That list is fake! Ukunduni inapiga kelele wakati their largest companies r being acquired by Tanzania’s!

BTW Mwambie the largest manufacturing companies in Zambia r Tanzanian from MMI Steel, Mt Meru, METL, Bakhresa et al!

BTW Bakhresa group a local company is undergoing $500 mln expansion project on her beverages production!

Bakhresa ni zaidi ya MO ki $B, sema ni mkimya na sio attention seeker!
 
Kumbe hata kiingereza kigumu kwenu
Dar es salaam Ina municipal Tano . Ilala , temeke, kigamboni,kinondoni na ubungo. Dar city council ni jina tu la manispaa ya ilala ambayo ndo makadirio yake yanazungumziwa hapo.
Big country, small money.
Tafuta map mzee.

If we were to compare Nairobi city revenue with the whole region of Dar is slum, we would have to expand to Nairobi metropolitan region, which is still not as big as the whole of Dar region.
It's even shorter to drive to Thika than some of the places you're listing here.
 
Haha ndo maana tunakuambia unakurupuka unafananisha municipality na county 🥰🥰🥰🥰.
County ni kama mkoa .
Au tukuelimishe
 
Big country, small money.
Tafuta map mzee.

If we were to compare Nairobi city revenue with the whole region of Dar is slum, we would have to expand to Nairobi metropolitan region, which is still not as big as the whole of Dar region.
It's even shorter to drive to Thika than some of the places you're listing here.
Mnaweza ku-collect hata 10X ya revenue, kwasababu mmezoea kuwa scammed.

Kama mnalipa kodi zijenge barabara, lakini barabara zikijengwa bado ni TOLLED mnalipia.

Mnalipia kupata huduma za serikali MARA 2.

You are just STUPID and DUMP.

Sasa mnatoa pesa kulipa eCITIZEN ya nini, kama siyo kuwa SCAMMED, Morons.
 
Big country, small money.
Tafuta map mzee.

If we were to compare Nairobi city revenue with the whole region of Dar is slum, we would have to expand to Nairobi metropolitan region, which is still not as big as the whole of Dar region.
It's even shorter to drive to Thika than some of the places you're listing here.
Elimu yako Ina mashaka
Kwa ujuaji wako dar inacomprise constituencies zip?
Kabla ya Nairobi kubadilishwa kuwa county ilikuwa ni province iliyojitegemea kama ilivyo dar es salaam.
Kuna seneta wa Nairobi metropolitan?
Elimu yenu ni ya kuunga UNGA,🥰🥰🥰
 
Big country, small money.
Tafuta map mzee.

If we were to compare Nairobi city revenue with the whole region of Dar is slum, we would have to expand to Nairobi metropolitan region, which is still not as big as the whole of Dar region.
It's even shorter to drive to Thika than some of the places you're listing here.
Remember Dar also is a metropolitan city with borders as far as Bagamoyo, Kibaha and MKuranga
 
Nairobi City. East African most important and developed city.

1000010698.jpg
 
Back
Top Bottom