Utapasuka nyangau ebu angalia entrance fee ya Serengeti tu
Mind you 70usd = 184,000
Kwa hiyo akija waitaliano 50,000 ni sawa na kuingiza 3,500,000 ambayo inatosha kwa domestic tourists 927,000 .
Sasa kama revenue ya domestic Iko 80mil inaamanisha ilikuwa ni kiingilio Cha watu 21,000,000 ila sisi tuna 3mil .
View attachment 3381629
Usipaniki huu mchezo hauhitaji hasira
Unaona foleni ya magari huko mbugami unaweza let's kama hii kwa Leo sehemu yoyote Kenya. Wenzako wanalia
View: https://x.com/MwendaKev/status/1937437966357381378?t=2f1GW7czZp72Q2hABAZ-WA&s=19