walianza kujenga 6 years ahead of us. launching services ndio was 3 years before we started building ours.Kama nyie sio lazy kama sisi how come ndio mlianza kijenga 3yrs kabla yetu na sisi tuko ahead of you in km?
Pia kuna wafanyabiashara wengi hasa wadogo wanaokuja kwa kisingizio Cha tourism2.6 milion ni wageni waliokuja specifically kwa visa ya utalii (Leisure) 5m includes all visitors to Tanzania including medical tourism, conferences, business etc
Yaani nyie kima mnahesabu watalii wanaopitia kenya kuja TZ kama kenya ndio source this is akin to counting ugandan imported oil as kenyan exports kisa imepitia mombasa. Amkeni wanasiasa wenu wanawaibia mchana kweupe maana wanawajua vichwa vyenu vyeope na mnapenda rosy figures.With Kenya being your top source for tourists globally. 😄
Sasa hio 5 million ulikua unapost ndio ututishe ama? Ona vile sasa unakaa fala.
Kuna seneta wa Dar Metropolitan?Vipi kuna seneta wa Nairobi metropolitan?
Hakuna kwahiyo kwenye reporting zote ngazi inayotambulika ni administrative area . Ambayo kwetu ngazi ziko katika mikoa wakati nyingi mko kwenye countyKuna seneta wa Dar Metropolitan?
Kama Tel Aviv Mwananguuu
Nenda kajifunze meaning ya metropolitan area alafu ujeHakuna kwahiyo kwenye reporting zote ngazi inayotambulika ni administrative area . Ambayo kwetu ngazi ziko katika mikoa wakati nyingi mko kwenye county
Swala la Kenye, Nigeria, Pakistan, Ethiopia, Cameroon, Senegal, India, Gambia, Uganda, DRC, Malawi, Liberia, Haiti, Zimbabwe, Mozambique - Nchi za Ulaya ni expatriates while hizi nchi zote nimeorodhesha hapa ni waosha vyoo ughaibuni, Arabia.You lower the IQ of every room you enter, including an empty one.
Zero understanding of the modern economy, with little if any exposure, just like your fellow bongoslumers.
Top 100 countries by remittance inflows (in USD) in the world. (2023)
7. France ($28 B)
9. Germany ($21 B)
15. United Kingdom ($13 b)
19. Italy ($10)
Hawa walikuwa wanakimbia wakienda wapi?
Stop excusing bongolala's lack of globally recognized skills, qualifications and competence.
**********************************************************
Full list:
🌍 Top 100 Countries by Remittance Inflows (2023)
Rank Country Remittances (USD millions) 1 India 125,000 2 Mexico 66,240 3 China 51,000 4 Philippines 38,000 5 Egypt 34,100 6 Pakistan 33,928 7 France 28,333 8 Bangladesh 26,106 9 Germany 21,610 10 Nigeria 20,128 11 Vietnam 19,288 12 Ukraine 18,205 13 Nepal 16,783 14 Lebanon 16,736 15 United Kingdom 13,428 16 Indonesia 13,200 17 Morocco 13,089 18 Guatemala 11,168 19 Italy 10,530 20 Sri Lanka 10,278 21 Dominican Republic 9,455 22 Ghana 9,293 23 El Salvador 8,917 24 Honduras 8,781 25 Jordan 8,485 26 Russia 7,825 27 Romania 7,693 28 Colombia 7,431 29 Thailand 6,435 30 Spain 6,433 31 Ecuador 5,704 32 Peru 5,408 33 South Korea 5,384 34 Kyrgyzstan 5,346 35 Armenia 4,974 36 Tunisia 4,913 37 Algeria 4,748 38 Portugal 4,633 39 Poland 4,277 40 Kazakhstan 4,153 41 Serbia 4,060 42 Moldova 4,049 43 Czech Republic 3,965 44 Bolivia 3,950 45 Bosnia & Herzegovina 3,890 46 Tajikistan 3,854 47 Uzbekistan 3,819 48 Georgia 3,798 49 Cambodia 3,771 50 Azerbaijan 3,708 51 Croatia 3,688 52 Senegal 3,300 53 Belarus 3,289 54 Nicaragua 3,227 55 Haiti 3,225 56 Kenya 3,085 57 Malaysia 3,074 58 Afghanistan 3,007 59 Israel 3,000 60 Paraguay 2,807 61 Ethiopia 2,616 62 Cameroon 2,581 63 Sudan 2,370 64 Bulgaria 2,316 65 Liberia 2,223 66 Zimbabwe 2,038 67 Myanmar 2,035 68 Malawi 2,033 69 Somalia 1,800 70 Australia 1,745 71 Argentina 1,735 72 Myanmar 1,659 73 Denmark 1,620 74 DR Congo 1,613 75 Portugal 1,499 76 Belarus 1,465 77 Uganda 1,459 78 Latvia 1,348 79 Qatar 1,307 80 Mali 1,294 81 Sudan 1,267 82 Lithuania 1,265 83 Israel 1,261 84 Slovenia 1,250 85 Iraq 1,247 86 Turkey 1,098 87 Canada 1,057 88 South Africa 1,042 89 Montenegro 1,032 90 Liberia 976 91 Finland 873 92 Mozambique 864 93 Costa Rica 830 94 Gambia 779 95 New Caledonia 736 96 New Zealand 725 97 Cyprus 698 98 Paraguay 694 99 Norway 690 100 Ethiopia 630
Vipi kesho utatokea kwenye yale maandamano ya gen z?😁
Passengers on transit visa hua haihesabiwi kama watalii. Your ignorance clearly shows hujawai toka nje ya bongoslum.Yaani nyie kima mnahesabu watalii wanaopitia kenya kuja TZ kama kenya ndio source this is akin to counting ugandan imported oil as kenyan exports kisa imepitia mombasa. Amkeni wanasiasa wenu wanawaibia mchana kweupe maana wanawajua vichwa vyenu vyeope na mnapenda rosy figures.
Enyewe hii inaonyesha hujawai toka nje ya bongoslum. 🤣🤣🤣 Yani wewe unadhani ni watalii ni watu wanakuja for leisure pekee. Waaaaa enyewe exposure muhimu.Pia kuna wafanyabiashara wengi hasa wadogo wanaokuja kwa kisingizio Cha tourism