Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Enyewe hii inaonyesha hujawai toka nje ya bongoslum. 🤣🤣🤣 Yani wewe unadhani ni watalii ni watu wanakuja for leisure pekee. Waaaaa enyewe exposure muhimu.
Hujawai tembea Mzee , hakuna viza rahis kama viza ya utalii . Ukiwa unakuja kwa ajili ya kazi au kutembelea ndugu lazima upate mwaliko . Biashara itatakiwa prove ya biashara yako na huwa ni gharama.

Wewe endelea kukaa kibera Huna unachojua
 
Mombasa

1750787659715.png
 
Hujawai tembea Mzee , hakuna viza rahis kama viza ya utalii . Ukiwa unakuja kwa ajili ya kazi au kutembelea ndugu lazima upate mwaliko . Biashara itatakiwa prove ya biashara yako na huwa ni gharama.

Wewe endelea kukaa kibera Huna unachojua
Kenya hatukuji bongoslum kufanya biashara za omba omba kama nyinyi. Pole sana.
 
Kenya hatukuji bongoslum kufanya biashara za omba omba kama nyinyi. Pole sana.
Ebu taja kubwa yoyote ya individual inayojulikana iliyopo Tanzania
Kumbe ombaomba anaweza kwenda Masai mara na akalipia entrance fee mpaka kuwa among the top 3 contributor ya tourist wote wa Kenya🥰🥰🥰🥰🥰
 
Kama nyie sio lazy kama sisi how come ndio mlianza kijenga 3yrs kabla yetu na sisi tuko ahead of you in km?
We stopped to evaluate the feasibility of the project. Nyinyi mnajenga railway to Burundi which is the most poorest country in the world. How feasible is that option?
 
Back
Top Bottom