Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Tukiwa hatupost hizi, haya mazuzu ya jirani yanajisahau. 🤣🤣. 👇🏾
View: https://youtu.be/YLDtcIrT_dI?si=0g4vB5YEDTjYUX0-
View: https://youtu.be/YLDtcIrT_dI?si=0g4vB5YEDTjYUX0-
Unahesabu hadi local tourists while in Kenya the number is for international tourists only.Unataka matusi kwanza nikoke motoooView attachment 3381316View attachment 3381317
KQ gani inaenda maasai mara? Wewe hupenda sana kuropokwa.Kenya inapata watalii kwasababu ya uongo pamoja na KQ kupeleka watalii Kenya.
TZ huwa ikipiga KQ ban ya kutua nchini, tauari hiwa wanapata mgogoro na wateja wao.
Mara nyingi huwa KQ inabeba watalii, then inawapeleka Masaai Mara, then inawapitisha Musoma mpaka Serengeti.
Serengeti, Kilimanjaro, Zanzibar, Tarangire, Ngorongoro ni LIFETIME DREAM DESTINATIONS za watu duniani.
Watu wanaweka akiba wafike hata moja moja kwa maisha yao.
Inashusha JKIA, then Tourists Vans zinabeba.KQ gani inaenda maasai mara? Wewe hupenda sana kuropokwa.
Ilikuwanga Nairobi pekee, siku hizi ishaafika Kisumu na Mombasa? 🤣 🤣Narok ikajilinganishe na ilala au temeke ambayo ni district ya dar es salaam with les than sq700km
Anyway Kenya is only developed in Nairobi,Kisumu,Mombasa lakini tz inaendelea kote ndo maana ukiangalia revenue collection by osr of the lowest regions in Tanzania ni sawasawa na 15 counties with the lowest osr collection. Mind you administrative ya county in Kenya Iko ni administration ya provinces in Tanzania.
Usilie bado hata kwa hapo international touristUnahesabu hadi local tourists while in Kenya the number is for international tourists only.
Vipi kuhusu wajir kuna nini kinafanyika🤣🤣🤣Ilikuwanga Nairobi pekee, siku hizi ishaafika Kisumu na Mombasa? 🤣 🤣
Hakuna. Kenya ni Nairobi pekee. 😀 😀Vipi kuhusu wajir kuna nini kinafanyika🤣🤣🤣
Inamaanisha wanaumwa tuna uwanja world class usio na running track. 😀But this distance is inatoshana Tu na ya Talanta? Mbona unalazimisha Talanta Stadium ikuwe na running track?
Haha vizuri kwa kulitambua hiloHakuna. Kenya ni Nairobi pekee. 😀 😀
Kumbe wanatambua Tanzania sio rika lao. 😂😂😂
View: https://x.com/nelmatt_2/status/1937421862872440925?s=46
Kipi cha maana hapo Mbilikimo. 🤣 🤣Huyu mkund*** kibera walker alipita hii barabara lakini kwa roho mbaya aliamua kukwepa hii street 🤣🤣👇🏾View attachment 3381356View attachment 3381357
Sawa. 🚮🚮Haha vizuri kwa kulitambua hilo
Wewe si ulichagua kukwepa hiyo street .? 🤣🤣🤣 i think you shoud tell us why uliamua kukwepa hiyo street while ulikua ukitembea kwa hiyo barabara claiming that you were shiwcasing Dar CBD.Kipi cha maana hapo Mbilikimo. 🤣 🤣
Wana jokes sana. 😂😂😂Haya madude yanaruka au yapo MUSEUM?
Your desperation levels are outta this worldProject imeisha , unaweza tuonesha hata acre 50,000 ya irrigated land , hiyo project ishakufa Mzee , sasa hivi ndo mnatafuta muwekezaji Toka Dubai nae bado hajaamaliza hata acre 20,000
Kutapatapa as usual