Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The figures for Kenya are for international tourists alone kijana wa Tandale. Can you do the same for Tanzania?
chrome_screenshot_Jun 24, 2025 2_00_57 PM GMT+03_00.png


Hii ya mwaka huu itakuwa

View: https://x.com/Classickizito/status/1937369233945690621?t=o4I--vc0Cw37ZCWwuUgi2A&s=19
 
Unakaza sana Fuvu.

Uelewa wako ni too low
Umeanza na kusema KQ inaenda Mara, then ukageuza haiendi, eti inafika JKIA then tour vans zinachukua watalii zinawapeleka Mara. 🤣🤣🤣 Endelea na kufanya guesswork.
 
With Kenya being your top source for tourists globally. 😄
Sasa hio 5 million ulikua unapost ndio ututishe ama? Ona vile sasa unakaa fala.
Haha east African countries tukiwa tunahesabu tourists huwa wako kwenye domestic tourists, hao wakenya wenu ni domestic tu.
International arrival bado mmezidiwa kwa almost 300,000 k
Tukija kwenye revenue bado tz iimewazid almost 500mil usd 🤣🤣🤣🤣 .
Haijalishi ni wageni kutoka wapi tunachotaka ni pesa tu
 
Back
Top Bottom