Bora hao wamepewa baiskeli, na wengine walipewa pikipiki.
Huko Kenya mnapewa Kilo ya maharagwe
Kumbe umeelewa kwanini earning from domestic revenue ni kidogo ,🤣🤣🤣🤣.Maasai Mara fees is triple the figure you have quoted. Ama unadhani watu wanaingia bure.
Haya wakawacheke na mabwana zao sasa!! Mtu wa third world country hawezi elewa matatizo ya first worlds life!!🤣🤣
View: https://www.instagram.com/reel/DLKahzjoYi-/?igsh=MW9nOWNncnJqbnN6Zg==
Sasa umeona nani anafake tulitegemea kwa hizo entrance fee tu mtripple kimapato kama maeneo Iko hivyo lakini bado mko chin ya viwango.Maasai Mara fees is triple the figure you have quoted. Ama unadhani watu wanaingia bure.
Ju hio ndio the only park in Kenya ama? Unareason kama fala ju maasai mara hata sio the most visited park in Kenya.Kumbe umeelewa kwanini earning from domestic revenue ni kidogo ,🤣🤣🤣🤣.
Haya tuwekee watalii wangapi wamevisit Masai Mara kuanzia December 2024. 🤣🤣🤣🤣
Eti ndege ina mkuki. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Ndege Ina mkuki hapo mbele 😂View attachment 3381662
Aliyeileta Masai mara sio wewe , wewe umesema domestic revenue sio halisia nimekuonesha kwa kuambia all fees kama entrance mpaka hotels zinabei ya domestic na foreigners . Foreigner huwa mpaka thrice ya mzawa.Ju hio ndio the only park in Kenya ama? Unareason kama fala ju maasai mara hata sio the most visited park in Kenya.
Whatever unatuambia is not new information, unasahau Kenya is your top source for tourists ama unadhani hatujui.Aliyeileta Masai mara sio wewe , wewe umesema domestic revenue sio halisia nimekuonesha kwa kuambia all fees kama entrance mpaka hotels zinabei ya domestic na foreigners . Foreigner huwa mpaka thrice ya mzawa.
Haya domestic earning ya wazawa Kenya ni kiasi gani . Mburula🤣🤣🤣🤣
Domestic tourists ambao hata viingilio vyao havina tofauti na WA Tanzania. 🤣🤣🤣🤣🤣Whatever unatuambia is not new information, unasahau Kenya is your top source for tourists ama unadhani hatujui.
Ju hio ndio the only park in Kenya ama? Unareason kama fala ju maasai mara hata sio the most visited park in Kenya.
Mbona unajifanya hujaona Nairobi city hall revenue karibu mara 3 ya Dar.We kima elewa Dar city ni Ilala Municipality tuu bado kinondoni, Temeke Ubungo na Kigamboni
So unasema bongolala donated them? 😂 😂Hamkuwa na cash ya kununua
Mngekuwa na hela mngeagizaSo unasema bongolala donated them? 😂 😂
Do you even buy that?
Acha kujifurahisha weka source acha mdomo mtupuMbona unajifanya hujaona Nairobi city hall revenue karibu mara 3 ya Dar.
Hio nayo utajitetea aje?
Unaijua dar es salaam au unaambiwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tukianza tu na mwaka 2023/2024 maana nikisema 2024/2025 utasema hatujafunga mwaka
2023/2024
During the reporting period, County governments generated a total of KES 58.95 billion from their own source revenue (OSR), which was 72.8 per cent of the annual target of KES 80.94 billion.
The realized OSR is an improvement compared to KES 37.81 billion generated in financial year 2022/23.
Ndani ya kipindi hicho Dar imekusanya zaid ya 246bil mpaka June
County Revenue Target Actual Revenue Percentage (%) Baringo 450,097,396 378,201,635 84 Bomet 332,041,830 238,930,420 72 Bungoma 2,010,419,736 1,120,909,349 55.8 Busia 649,015,633 369,203,975 56.9 Elgeyo Marakwet 271,306,633 258,505,138 95.3 Embu 750,000,000 746,494,074 99.5 Garissa 230,000,000 248,969,049 108.2 Homa Bay 1,392,206,352 1,200,495,831 86.2 Isiolo 356,208,180 285,197,344 80.1 Kajiado 1,868,466,985 1,048,356,435 56.1 Kakamega 2,200,000,000 1,347,833,279 61.3 Kericho 1,066,426,600 841,927,978 78.9 Kiambu 6,995,366,235 4,575,831,607 65.4 Kilifi 1,788,634,222 1,208,619,997 67.6 Kirinyaga 550,000,000 651,105,565 118.4 Kisii 1,843,892,198 1,180,162,037 64 Kisumu 2,282,844,694 1,443,607,988 63.2 Kitui 585,000,000 517,049,816 88.4 Kwale 600,000,000 427,377,928 71.2 Laikipia 1,445,000,000 1,061,020,098 73.4 Lamu 180,000,000 209,102,758 116.2 Machakos 3,332,286,060 1,549,348,477 46.5 Makueni 1,240,000,000 1,044,674,948 84.2 Mandera 330,533,846 168,047,287 50.8 Marsabit 190,000,000 145,092,550 76.4 Meru 1,050,000,000 961,934,279 91.6 Migori 625,474,299 512,566,310 81.9 Mombasa 7,377,933,227 5,585,024,010 75.7 Murang'a 1,115,000,000 1,116,795,730 100.2 Nairobi City 19,689,630,278 12,542,094,418 63.7 Nakuru 4,100,000,000 3,321,300,479 81 Nandi 558,329,869 630,727,156 113 Narok 4,979,073,664 4,753,670,486 95.5 Nyamira 687,000,000 369,796,343 53.8 Nyandarua 1,225,000,000 515,740,772 42.1 Nyeri 1,326,000,000 1,407,546,107 106.1 Samburu 256,027,400 266,583,924 104.1 Siaya 760,000,000 610,737,745 80.4 Taita Taveta 628,667,445 461,186,652 73.4 Tana River 96,630,600 92,568,520 95.8 Tharaka Nithi 450,670,000 417,346,035
Angalia county Zenu linganisha na za tz uone mlivyo maskini wa kutupwa.
Yaan county nzima yenye senet mnakusanya usd 717,000 ?
Dar city mentioned there is Ilala Municipality.Do you even know what data you're looking at?
In 2023, Dar city collected - Tsh 81 B ( Ksh 3.9 B)
In 2024, they hoped to increase that to - Tsh 89 B (Ksh 4.3B)
In the same period, Nairobi, which you keep singing is smaller, did Tsh 451 B (12.8 B). Triple
The counties you are comparing to DarSlum are basically small towns in the middle of nowhere. What are you going to tax pastoralists?
![]()
Dar City plans to increase revenue by 9.2pc - Daily News
THE Dar es Salaam City Council is planning to increase its revenue collection by 9.2 per cent in this fiscal year after, managing to maximise the same at the just ended financial year. The city planned to collect 89bn/-in 2023/24 up from 81.5bn/- in 2022/23 from the internal sources by dividing...dailynews.co.tz
View attachment 3381693