concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,310
- 14,331
Kwanza hata ikifika Uganda, mzigo wa kutoa Uganda kwenda nje hakuna zaid ya bidhaa za kilimo kama chai ambazo huwa ni za misimu( deni unalipaje? )Kunyan wanakuambia tambo lao la chang'aa likifika uganda linaunganisha congo na rwanda,wangejua sgr yetu inanukia mwanza na isaka soon wangelia View attachment 3380415
Yaan hata uhakika wa kupata hela bado wanataka shindana na nchi ambayo mkandarasi yuko site lot zote .
Hivi wanajua kwamba kuna mchina anajenga meli zake tatu kwa ajili ya kusafirisha madini Toka manono kuja kigoma , yaan uhakika wa mzigo tayari