SGR ya TZ mpaka Mwanza , mpaka Musongati Burundi.Kunyan wanakuambia tambo lao la chang'aa likifika uganda linaunganisha congo na rwanda,wangejua sgr yetu inanukia mwanza na isaka soon wangelia View attachment 3380415
Contractors wako SITE.
SGR ya TZ mpaka Mwanza , mpaka Musongati Burundi.Kunyan wanakuambia tambo lao la chang'aa likifika uganda linaunganisha congo na rwanda,wangejua sgr yetu inanukia mwanza na isaka soon wangelia View attachment 3380415
You people are very dumb.
TZ doensn't tell any foreigner to stay, doesn't offer dual citizenship.
Doesn't allow foreigners to own land.
They still flock here everyday.
You think it's a big deal having foreigners for expats.
They live in TZ ,everywhere, not only Dar es Salaam.
This is super dumb.
Supwr dumb.
So, having Rich old tribal kinpins recycling themselves in power is what you call democravy that will take you out of slums??
There are ton sof Congolese in TZ.
Nobody ana shobo nao.
We are used to them, and we know them well.
We know our country, amd we don't need any validity from anyone.
Hizi zote ni propaganda, nilikuambia utuonyeshe evidence ya Mosad kuwa bombed ukashindwa. KAZI yako ni maneno maneno Tu with no evidence, no wonder you are a quack.Nilikujibu humu Iran imeshalipua maeneo muhimu yote haina sehemu muhimu imebakisha.
Lengo la Iran ni kuifanya Israel isikalike.
Malengo ya vita hutofautiana.
-Mossad HQ zimelipuliwa.
-C4 HQ zimelipuliwa.
-Ofisi za serikali Tel Aviv zimelipuliwa.
-Nevatim airbase imelipuliwa.
N.k n.k
Endelea kupiga domo,Israel imetuma ujumbe Iran kuomba mazungumzo ya amani yafanyike,Iran imekataa.
France kapiga simu jana kumsihi Iran IKUBALI kujadili amani Iran imekataa.
Iran imejiandaa kwa war of attrition.
We Kaa piga domo hapo.
Why go to the president?Unataka kuzingumza kuhusu nini wewe mbwa .? 🤣🤣🤣. Hao si ndio wadosi wa Kunyarenda.? The most affluent suburb.? Kuna mkenya mjanja kuliko Diamond.? Starting from your president.? 🤣🤣🤣
Anakuambia land ni one "hector" lakini nyumba imejengwa karibu na gate😂😂😂.Nyumba karibu na ukuta ni ishara ya 2 things:
1. Your financial situation (Build smaller proportions)
2. Ushamba
So?Value addition. You are given incentives to add value from raw materials finished product for export.
Who told manufacturing lazima ikuwe ya export? Yani watanzania wote ni Tu wajinga?What does Zambia manufacture when its total exports are less than $3B?
Kikubwa hapa kinatoka kwenye kopa.
Hiyo nyumba ya Diamond I'm sure hata Ile OG imeshinda.Lol. None of the house in Kenya belong to someone with 50+ million YouTube views in a single song.
Hizo labda wakenya wamenunua na mortgage.
Do you have a comprehension problem? So, shida ya Diamond ni pesa ama ushamba?
Ukoo wenu wote hauna pesa za kufikia diamond from your ancestors. Diamond ako na nyumba more than 100 in Dar, Znz and 2 houses in South Africa. Kuhusu viwanja 🤣🤣🤣🤣 platnumz ako na viwanja mob zenye zinatoshana ukubwa na Nairobi city.Why go to the president?
My own grandfather had a much bigger backyard than Diamond. 😂 😂 😂
Nyumba ya OG ni takataka in comparison to Baba levo’s house once complited let alone Platnumz home. 👇🏾OG’s houseHiyo nyumba ya Diamond I'm sure hata Ile OG imeshinda.
Hii ni propaganda au siyo!?Hizi zote ni propaganda, nilikuambia utuonyeshe evidence ya Mosad kuwa bombed ukashindwa. KAZI yako ni maneno maneno Tu with no evidence, no wonder you are a quack.
Hizi zote ni propaganda, nilikuambia utuonyeshe evidence ya Mosad kuwa bombed ukashindwa. KAZI yako ni maneno maneno Tu with no evidence, no wonder you are a quack.
Kwanza hata ikifika Uganda, mzigo wa kutoa Uganda kwenda nje hakuna zaid ya bidhaa za kilimo kama chai ambazo huwa ni za misimu( deni unalipaje? )Kunyan wanakuambia tambo lao la chang'aa likifika uganda linaunganisha congo na rwanda,wangejua sgr yetu inanukia mwanza na isaka soon wangelia View attachment 3380415
Ask yourself why Lissu chose Nairobi over other regional cities like Kampala, Kigali, Bujumbura or even Maputo. Ama hizo miji mengine pia ilikuwa hatari kwake? The thing is, Lissu is alive courtesy of Nairobi Hospital. The emergency medical attention he received there saved his life.Magufuli daima asingeweza kutibiwa hata mafua huko Kenya, tundu lissu ilikuwa lazima aje Kenya kutokana na mazingira ya tukio lake na ukaribu wa naipori kutoka dar, na hata baada ya kuletwa huko ikabidi aondoshwe cz mlikuwa mmemukea mitungi ya gesi tu pasipo tiba, ndio mana akaondoshwa. Hamna kitu mnaweza nyie vilaza.
Hiko ni chombo cha Times of Israel.Hizi zote ni propaganda, nilikuambia utuonyeshe evidence ya Mosad kuwa bombed ukashindwa. KAZI yako ni maneno maneno Tu with no evidence, no wonder you are a quack.
Mzigo tegemezi wa Uganda wanaotegemea, ni Uganda kutumia Mombasa kwa mizigo yao wanayotoa nje ya nchi kama China.Kwanza hata ikifika Uganda, mzigo wa kutoa Uganda kwenda nje hakuna zaid ya bidhaa za kilimo kama chai ambazo huwa ni za misimu( deni unalipaje? )
Yaan hata uhakika wa kupata hela bado wanataka shindana na nchi ambayo mkandarasi yuko site lot zote .
Hivi wanajua kwamba kuna mchina anajenga meli zake tatu kwa ajili ya kusafirisha madini Toka manono kuja kigoma , yaan uhakika wa mzigo tayari
Kwahiyo nikoboa Mpunga kuwa mchele ni manufacture mchele?🤣🤣🤣🤣Yes ndio maana inategemea na soko lako unapoexport. Unaweza ukazalisha unga ukaexport kwa anayezalisha biscuits. Chapati clips na kazalika. Au ukazalisha final products
Sasa kama mnajua hili, nyinyi sgr yenu mnapeleka Uganda kufanya nini? Morons!Kwanza hata ikifika Uganda, mzigo wa kutoa Uganda kwenda nje hakuna zaid ya bidhaa za kilimo kama chai ambazo huwa ni za misimu( deni unalipaje? )
Yes, leta statement from either Israel or Iran officials stating that Mosad was bombed, sio hizo YouTube za Kiswahili ya wasiojua chochote kama wewe.