weka hapa manufactured rice tucheke kidogo.Don't you know food processing is also part of manufacturing. Ama hukua unajua?
Ebu tuambie kwenye epz zenu kuna manufacturing ya services, maana tunaona mtoa huduma yupo kwa epz na anafanya services na huku ulituambia epz ni kwa ajili ya manufacturing tuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yani bongolala wanadhani manufacturing ni kutengeneza vitu ambavo havikuliki pekee. 🤣 🤣 🤣 Naishaaaaaa, eti food processing is not manufacturing. 🤣 🤣 🤣
In Azam juice there is more than one ingredient hiyo ni manufacturing lakini rice and flour hell nooooooooKwa hivyo Azam juice is not a manufactured product? 🤣 🤣 🤣 Enyewe elimu ya bongoslum ina shida. Umesema manufacturing ni ya industrial goods pekee. Unaelewa maana ya industrial goods ama unaongea tu fwaaaa.
tuwekee manufactured Ugali au uji hapa tuone basi.Manufacturing can be a component of value addition, kama hujui kitu ni heri unyamaze. Value addition is a very broad term.
Ajabu tukija kwenye taarifa zao exports unakuta agricultural products hawaziunganishi kwenye manufactured goods.weka hapa manufactured rice tucheke kidogo.
tuwekee manufactured Ugali au uji hapa tuone basi.
Wazee wa remitansi. By the way a big chunk of their remitansi comes from TZ🤣🤣🤣Ajabu tukija kwenye taarifa zao exports unakuta agricultural products hawaziunganishi kwenye manufactured goods.
Tulitegemea cocoa iwe kwenye manufactured goods badala ya kuiweka kwenye agr products maana huwa Ina banguliwa kabla ya kusafirishwa.
Au na cocoa iliyobanguliwa ni manufactured product🤣🤣🤣🤣
Iran amepiga millitary bases tatu in the middle east.. Qatar, Serya and Iraq. 👇🏾
View: https://youtu.be/n-PxKvsBVL0?si=9IpcGUxr1VpVhYoO. Hawa Iran hawaskii kinoma. 🤣🤣🤣 hawa jamaa ni moto wa kuotea mbali.
I clearly said most of exported products from our EPZ are manufactured goods.Ebu tuambie kwenye epz zenu kuna manufacturing ya services, maana tunaona mtoa huduma yupo kwa epz na anafanya services na huku ulituambia epz ni kwa ajili ya manufacturing tuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3380604
www.alphalogisticsafrica.com
Tulikuambia epz SI lazima iwe ni kwa ajili ya manufacturing tu ukazid kung'ang'ania kuwa epz kwa ajili ya production tu na bado ukatuwekea mpaka total sale za epz ambayo hukutofautisha kati ya services na productionI clearly said most of exported products from our EPZ are manufactured goods.
Yani imeandikwa tu vizuri they do logistics and engineering services lakini bado unajifanya pumbavu.
Hua nafurahia sana niki expose ujinga wako. 🤣 🤣 🤣
Projects zao ziko kwa the same website umetoa screenshot but kama kawaida you are too lazy to read ju hampendi kusoma.
Engineering Projects - Alpha Logistics Services EPZ Limited
Our engineering projects highlight our capability to design, implement, and support innovative solutions across the marine and logistics sector. From vessel modifications and port infrastructure to offshore installations and specialized equipment, we combine technical expertise with practical...www.alphalogisticsafrica.com
Tulikuambia epz SI lazima iwe ni kwa ajili ya manufacturing tu ukazid kung'ang'ania kuwa epz kwa ajili ya production tu na bado ukatuwekea mpaka total sale za epz ambayo hukutofautisha kati ya services na productionView attachment 3380616
Umeona sasa ulivyo kilaza umejiabisha mwenyewe
You trying to be a smart fool just because ukona google. Most of EPZ products from Kenya are manufactured goods, ukiweka nyama ama maharagwe kwa mkebe it counts as a manufactured product. Wewe ndio unajua what our EPZ produces ama ni sisi. Most products from our EPZ are manufactured goods.
Ulipoweka figure ya over 1bil hukutofautisha na tulipokuambia kuwa hiyo figure ime include na service ulipinga ? Haya tupe total figure ya manufactured goods from Kenya kwa mwaka 2024 🤣🤣🤣🤣🤣I clearly said MOST.
Ulipoweka figure ya over 1bil hukutofautisha na tulipokuambia kuwa hiyo figure ime include na service ulipinga ? Haya tupe total figure ya manufactured goods from Kenya kwa mwaka 2024 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo unakubali kuwa epz sio lazima ziwe manufactures goods tu? 🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo total exports ya commodity zote kwa Kenya ikijumlisha na agricultural products. Data zinapatikanaWhere is your bongoslum?
![]()
Again where is bongoslum
![]()
www.centralbank.go.ke
Mbona bongoslum haiko hapo ama haiko Africa? 🤣 🤣 🤣Hiyo total exports ya commodity zote kwa Kenya ikijumlisha na agricultural products. Data zinapatikana
Total exports zenu hizo zikiwa na mpaka re exports. Acha kujifarijiCBK | Central Bank of Kenya
www.centralbank.go.ke
Unajenga aje nyumba kubwa hivi kwa plot ya 50 by 100Nyumba ya OG ni takataka in comparison to Baba levo’s house once complited let alone Platnumz home. 👇🏾OG’s house View attachment 3380469baba level’s house 👇🏾View attachment 3380482View attachment 3380483View attachment 3380487