Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,994
Daraja kwa hali ilivyo kule congo alitufai 😄Au tujenge daraja lingine across lake Tanganyika kabla la lile la Zanzibar?
Daraja kwa hali ilivyo kule congo alitufai 😄Au tujenge daraja lingine across lake Tanganyika kabla la lile la Zanzibar?
Trucks tu,greece ni nchi yenye visiwa vingi zaidi ya 50,pale ni roro na catamaran ndio zinapiga kazi,ukiangalia umbali wa kutokea kigoma to kalemie halafu hamna meli ndio utaona afrika bado tuna safari ndefu sanaKwa kwenda kalemie na central drc sawa ila kwa kwenda Lubumbashi tunduma bado ni karibu sana kama drc walifanikiwa kufufua ile reli yao kwenda Lubumbashi na kuwa na meli kubwa pale za kuleta copper na madini mengine kutokea maneno mbalimbali ndani ya central drc basi speed ya sgr itatubeba sana maana kutokea dar- kgm itakuwa haizid masaa 10 na na kutokea kgm - kalemie hapazidi km 100 kwa hiyo ukipata ferry ya knot 15 tu masaa matatu mtu yuko kalemie inabaki ni speed ya kupakia na kupakua , ila tukiwa na meli za kuingiza mabehewa direct hata behewa 30 tu basi kigoma itaenda kuwa geneva
Yule bolt driver akujua kama benjamin ni mbongo kwa ule muonekano wake,vile ndivyo wakenya wanavyowadanganya wageni kuhusu vitu vya TZ,humu tulishaambiwa sgr yetu kuna mkopo tumechukua kundustan basi ndio ujue hata wageni wanaambiwa hivyoHuyo aliuliza swali hapo down ni Benjamin mwenye kampuni yenye thamani ya 100 billion Tz money, mmiliki wa NALA money. Sidhani kama anaweza kufanya hizo stories unazotuelezea.
Wee mbilikimo nieleze, mbona asipeleke hiyo kampuni yake Vumbistan kama anakerwa na Wakenya hivi?Huyo aliuliza swali hapo down ni Benjamin mwenye kampuni yenye thamani ya 100 billion Tz money, mmiliki wa NALA money. Sidhani kama anaweza kufanya hizo stories unazotuelezea.
Kwanza kina mchina anajenga meli zake tatu pale karema kwa ajili ya kusafirisha mzigo wake wa madini wastani wa 60,000 kwa Kila meli kwa mwezi yote hii kwa ajili ya sgr Tanzania 🤣🤣🤣🤣Daraja kwa hali ilivyo kule congo alitufai 😄
Kwa sasa mkuu hakuna movement kubwa sana kigoma tu kalemie sababu ya vurugu pili usafir kwenda kigoma bado haujatosheleza , wakisema serikali iachie kuwe na free market kwa leo hii utawau kwa njaa watu wa kigoma.Trucks tu,greece ni nchi yenye visiwa vingi zaidi ya 50,pale ni roro na catamaran ndio zinapiga kazi,ukiangalia umbali wa kutokea kigoma to kalemie halafu hamna meli ndio utaona afrika bado tuna safari ndefu sana
Upande wenye abiria wengi ni karemi kwenda kivu ila sio kigoma na kuna meli kibao upande wa Kongo ila ingiza zako sasa uone fitinaTrucks tu,greece ni nchi yenye visiwa vingi zaidi ya 50,pale ni roro na catamaran ndio zinapiga kazi,ukiangalia umbali wa kutokea kigoma to kalemie halafu hamna meli ndio utaona afrika bado tuna safari ndefu sana
Walimzuiaga Azam kusafirisha bot zakeTrucks tu,greece ni nchi yenye visiwa vingi zaidi ya 50,pale ni roro na catamaran ndio zinapiga kazi,ukiangalia umbali wa kutokea kigoma to kalemie halafu hamna meli ndio utaona afrika bado tuna safari ndefu sana
Yani unadhani unajadiliana na Primary School dropouts? Your export of manufactured goods hata hazifiki quarter za Kenyan export of manufactured goods.Ukiangalia exports za bidhaa za viwandani baina ya Kenya na Tanzania , tz imeizid Kenya almost mara mbili
Kwi 82.8 bil ksh ni sawa na usd 641milYani unadhani unajadiliana na Primary School dropouts? Your export of manufactured goods hata hazifiki quarter za Kenyan export of manufactured goods.
Ushakamatika sasa unaruruka tu kubwa jinga wewe. 🤣🤣🤣🤣Wee mbilikimo nieleze, mbona asipeleke hiyo kampuni yake Vumbistan kama anakerwa na Wakenya hivi?
Duuh hii habari sina mkuu ,Zina uwezo gani ( tonnage ) ?
Israel is burying Iran. Kosugi wapi zile kelele zako za Iran
View: https://x.com/VividProwess/status/1937073387274182711?t=a2oF8s0qQ3jqwE_XeVi9Hg&s=19
Sina ajenda.You realize this doesn't push the agenda you're trying to push do you bongolala?
Ni nne zenye uwezo wa 2000 tonnes each . Na bado ile ya serikali ya tani elf tatuKwanza kina mchina anajenga meli zake tatu pale karema kwa ajili ya kusafirisha mzigo wake wa madini wastani wa 60,000 kwa Kila meli kwa mwezi yote hii kwa ajili ya sgr Tanzania 🤣🤣🤣🤣
Sasa sijui wakenya watasafirisha nini
Kwi 82.8 bil ksh ni sawa na usd 641mil
Na bado total exports zenu zote ilikuwa ni 11bil usd versus 16 bil usd tz
Sasa kama mnaexport goods za 82.8 bil gdp yenu Iko wapi versus 1.92 usd bil ya tz
Hii mpaka December 2024 hatujafunga mwaka
Haya tuletee ya Kenya nyangau kama mnaweza vuka hata hiyo 1bil usdView attachment 3380122