Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rice milling is a manufacturing industry. Umewai tembelea any large scale milling factory kweli, I doubt hata unajua inafanana aje until ukimbie google.
Neno factory lisikuzubaishe kijana hiyo bado ni food processing tuu. Ila nikichukua avocado iliyokuwa processed nikaitumia kama ingredient + other ingredients nikatengeneza cosmetics hiyo ni manufacturing.
 
Yes, leta statement from either Israel or Iran officials stating that Mosad was bombed, sio hizo YouTube za Kiswahili ya wasiojua chochote kama wewe.
Nimekuletea chombo Cha ASIA hapo umekisoma?
Unatafuta sababu za kisenge kukataa ukweli.
Hiko ni chombo cha mid east kimetoa hadi picha ya jengo.
Embu soma hapo chini ya picha panaeleza nini.

Screenshot_20250623-194823.png
 
Neno factory lisikuzubaishe kijana hiyo bado ni food processing tuu. Ila nikichukua avocado iliyokuwa processed nikaitumia kama ingredient + other ingredients nikatengeneza cosmetics hiyo ni manufacturing.
Don't you know food processing is also part of manufacturing. Ama hukua unajua?
 
Food processing sio manufacturing wewe kima. Manufacturing ni reserve ya industrial goods.
Kwa hivyo Azam juice is not a manufactured product? 🤣 🤣 🤣 Enyewe elimu ya bongoslum ina shida. Umesema manufacturing ni ya industrial goods pekee. Unaelewa maana ya industrial goods ama unaongea tu fwaaaa.
 
value addition to mono food product still is not manufacturing kichwa imekuwa mtungi wa kuhifadhia kamasi ama?
Manufacturing can be a component of value addition, kama hujui kitu ni heri unyamaze. Value addition is a very broad term.
 
Yani bongolala wanadhani manufacturing ni kutengeneza vitu ambavo havikuliki pekee. 🤣 🤣 🤣 Naishaaaaaa, eti food processing is not manufacturing. 🤣 🤣 🤣
 
Yani bongolala wanadhani manufacturing ni kutengeneza vitu ambavo havikuliki pekee. 🤣 🤣 🤣 Naishaaaaaa, eti food processing is not manufacturing. 🤣 🤣 🤣
Ebu tuambie kwenye epz zenu kuna manufacturing ya services, maana tunaona mtoa huduma yupo kwa epz na anafanya services na huku ulituambia epz ni kwa ajili ya manufacturing tuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
chrome_screenshot_Jun 23, 2025 8_35_01 PM GMT+03_00.png
 
Kwa hivyo Azam juice is not a manufactured product? 🤣 🤣 🤣 Enyewe elimu ya bongoslum ina shida. Umesema manufacturing ni ya industrial goods pekee. Unaelewa maana ya industrial goods ama unaongea tu fwaaaa.
In Azam juice there is more than one ingredient hiyo ni manufacturing lakini rice and flour hell noooooooo
 
weka hapa manufactured rice tucheke kidogo.
Ajabu tukija kwenye taarifa zao exports unakuta agricultural products hawaziunganishi kwenye manufactured goods.
Tulitegemea cocoa iwe kwenye manufactured goods badala ya kuiweka kwenye agr products maana huwa Ina banguliwa kabla ya kusafirishwa.
Au na cocoa iliyobanguliwa ni manufactured product🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom